Yaonyesha wewe ni mbumbumbu kwelikweli katika yanayoendelea, au umechagua umeamua kutumika;
Si mara ya kwanza kwa madaktari kuondoka nchini, tena wale ambao tu ndio wamemaliza shule hata internship hawajafanya, nafahamu fika kwa kuwa nina jamaa zangu tuliosoma nao sekondari walitimkia kusini
- Kamwe ubalozi wetu huko hauhusiki kuwachunguza
- wanachohitaji ni vyeti vyao vya shule na ubongo wao kufanya mitihani ya usajili (katika baadhi ya nchi kama Botswana, Afrika Kusini, USA). Kama hajafanya internship anafanya huko na anasajiliwa, kama alishafanya, anafanya mtihani na kusajiliwa
- Ni kweli kuna kazi nyingi huko sio zile za kutibu moja kwa moja, kama tu ilivyo hapa. We jiulize kuna chuo kama Muhimbili kila mwaka kinatema si chini ya 80 plus vyuo vingine wote hao wanakwenda wapi mbona mahospitalini mikoani hatuwaoni? Wapo kwenye taasisi na miradi mingine inayohusiana na afya ambayo wala hawahitaji kuwa na usajili (kufanya Internship) ili kufanya kazi hizo! Hata wizarani wapo (Mwinyi akiwa kinara wao hakumaliza internship yake muhi2)
- Daktari anaweza kuwa mbunge lakini kamwe mbunge yeyote tu hawezi kuwa daktari, injini etc, kokote duniani kazi za kitaaluma kama madaktari wanalipwa zaidi kuliko wanasiasa kama wabunge na beurocrats (refer UK, Germany etc). Ndio maana wameweza ku-retain skilled labour force yao, nyinyi maskini halafu mnaipoteza na kuona sawa.... Kwa upumbavu wenu wa siasa za maji machafu
- Kwa yeyote kuendelea kufikiri kuwa eti madai ya madaktari ni kwamba wametumwa na watu fulani, either mwenye kufikiri hivyo ni punguani asiyeweza kufikiri (na hivyo kufikiri wote wako kama yeye) au umetumwa kulamba uozo wa uchemfu wa mabwana zako wa serikali!
Mkuu mweleze huyo gamba, asiyejua hata utaratibu wa kusafiri nje ya nchi, ati lazima ubalozi wetu uwachuje! Mwisho wake atasema ubalozi wetu hautawapa viza!