Madaktari wa Mwanza wanaipima Serikali?

Madaktari wa Mwanza wanaipima Serikali?

Mtoa post akili yake fupi na hata IQ yake ni ndogo sana
Mkuu naamini wewe una akili ndefu na IQ kubwa ila inatia shaka kidogo kama utakuwa ni 100% kutokana na njinsi ulivyohitimisha bila kuchukua vipimo. Huoni kama aliyeweka post anaweza kukuzidi angalau kidogo uwezo kwa kuwa umeweza kuandika chochote?
Hata aliyekuwa mwisho darasani akiulizwa sasa hivi huwa anasema moja mpaka tatu alikuwa hakosi!
 
Daktari anafanya kazi masaa mangap kwa siku? siku ngapi kwa week??
Daktari analipwa sh. Ngap? anakatwa sh. Ngap?
daktari anapaswa kuwa na familia au laaaah?? akiwa nayo mke wa daktari anakaa na mumewe au mkewe lini? watoto wake wanapataje wasaa wa kukaa na wazazi wao??
most of u guys mnalala jumamosi na jumapili. Weekdays mnatoka kazin sa. 11 Maximum.
Most of us tunakaa hospital mpaka sa 2, na usiku tunaamshwa kuja kuwahudumia nyie kama ndugu zetu. We work 7days a week, and our timetable always accomodate room ya kuitwa hata kama usiku sa. 10 Niko natengeneza mtoto... u think we get paid fo that? Well we dont. Our children wanakua with pride wazaz wao madr. But we are poorest parents ever, its not a choice is default kwenye system yetu.. sio kwamba nilichagua niwe daktari so as kutake every crap ambayo utakuja nayo kwakuwa we ni mgonjwa. And sisi ni watu pia, nina familia, nina ndugu... mshukuru mungu ukienda kazini unaenda kuhesabu hela au Kuandika kwenye makaratasi.. nataman siku moja ungejua inakuaje unaamkia kuwasikiliza watu ambao wengi wao sio waekewa na hawajali wenzao bali wao wenyewe..
Ofisi ya serikali ikifika sa. 7-8 Ni muda wa kula ila dr. Akiacha clinic muda huo kwenda kula utaambiwa tumekuja sa. 12 Bila hata kujua wewe upo pale tangu jana.. you dont ask, you never ask.. doctors are most non-selfish people out there but hamuwez kujua kwakua mnaangalia mambo mnayoyafanya kwenye 24 hours nakuzan tinalingna..
fine, ni vizuri kuwaza mnavyowaza kwakua scope ya what mmewitness haiwaruhusu kuwaza beyond that..
Anf no, drs. Hawana lugha mbaya but kama human akiwa na bad mood learn kuongea naye pia..
We work in most difficulty environments, tunajitoboa kuhudumia wagonjwa wa HIV, personally nishawah kumzalisha mtoto kwa mikono mitupu 5years ago wakati hamna gloves. I risked my life mom was positive, alafu leo mnakuja kuongea ujinga without hata kusikiliza mazingira yakoje..
Its shame nchi kama yetu inamadaktar wachache na tuko 45 mil.
mnazan madakatari wenye vyet wanafika hata elfu 20???
Fine, we bleed for ua relatives, we abandon our husbands, wives for you.. tunachoka pia, tutachoka one day.. its not fair, u may not see these but one day mtajua.. NIMEIKUTA MAHALI!!
wapi huko nasisi tuifuate
 
Kuna watu wanaenda shule kusomea health and social care management for a reason na waliotunga hizo degree sio wapuuzi; sasa kwa kudhani vitisho na matarajio ya utendaji ndio njia ya kuboresha huduma za sector na ku-shape behaviour za wafanyakazi ni sawa na kutangwa maji kwenye kinu; kitendo cha kumchagua MD tu kama katibu mkuu inaonyesha serikari aiko serious jumlisha na wale wengine ndio kabisa.

Mtasubiri sana mabadiliko kwenye hii sector trust me not much will change mbinu tu zinazotumika enough to tell ya this wont work.
UNAIJUA CV YA KM WA WIZARA YA AFYA,JINSIA, JAMII, WAZEE NA WATOTO- AU UNASEMA TU NI '' MD' - JIONGEZEEE KIDOGO NDUGU!
 
TUNAKOELEKEA AIDHA WATU WATAKAOSOMA UDAKTARI
1. WANAWEZA KUPUNGUA KUTOKANA NA FANI HIO KATIKA NCHI YA TANZANIA KUWA NA FIGISUFIGISU!
2.KAMA SERIKALI HAITOIMARISHA HOSPITALI ZAKE KWA MAZINGIRA, VIFAA TIBA NA VITENDANISHI,MADAKATARI WENGI KWA HILI BIFU LINALOENDELEA AKTIYA WANASIASA WAKISHIRIKIANA NA WANANCHI VS MADAKTARI NA WAHUDUMU WA AFYA, NI KWAMBA HAMNA DAKTARI ATAPENDA KUAJILIWA SERIKALINI.
3. WANAOHITIMU WANAWEZA WASIFANYE KABISA KAZI YA UDAKTARI, WAKAISHIA KUFANYA SHUGHULI NYINGINE ZA KIMAISHA, MIFANO IPO MINGI KWA MIAKA YA KARIBUNI.
4."BRAIN DRAIN PHENOMENA" MADAKTARI KUKIMBILIA NCHI ZA KUSINI,E.G BOTSWANA, NAMIBIA NA SOUTH AFRICA, NA HATIMAYE ULAYA NA MAREKANI ITAENDELEA KWA KASI, SO SERIKALI ITAKUWA INATRAIN WENGINE WANACHUKUA, ULE UWIANO WA DAKTARI NA MGONJWA UTAENDELEA KUWA MKUBWA.
5.SERIKALI ITAENDELEA AU INDELEE KUWEKEZA KWENYE -ASSISTANT CLINICALOFFICER(RMA ZAMANI) NA CLINICAL OFFICERS , PAMOJA NA AMO- HAOLABDA NDIOWATAKUWA WAOKOZI WA SERIKALI, LAKINI MD'S SERIKALI IJIANDAE KISAIKOLOJIA KUWAPOTEZA, KMA HAITATENGENEZA MAZINGIRA MAZURI. NA KUTAKUWA NA UPUNGUFU WA MORALI YA KUSOMA UDAKTARI KWENYE JAMII KUTOKANA NA HIZI FIGISUFIGISU.

YETU MACHO NA MASIKIO! NGOJA TUONE CHEZO LINAVYOEENDA!
Hivi kweli jamani, mtu anakwenda hospitali, anatibiwa vizuri, maisha yake yanaokolewa kutokana na ugonjwa aliokuwa nao amchukie daktari? Huyo mtu atakuwa na roho mbaya gani? Lazima kuna tatizo somewhere.
 
We nurses tunakaa na wagonjwa 24hrs we nurse them we love our patient lkn people don't care don't value ,mistake zipo km binadamu no one z perfect,mazingira co Rafiki lkn tunajitoa muhanga,msibase kwenye weakness some time u have to appreciate our care na ikifika mda mungu ameamua we hv no way,we treat but god heal,serikali kuna watu muhimu sana manessi their basic unit of care,naomba kuwaclisha
Hatukatai lakini kuna baadhi ya hospitali watumishi wake wamekuwa na tabia ambazo haziridhishi. Uongo mbaya Hospitali za Butimba(Mwanza) na Sekou Toure kuna matatizo ya muda mrefu kiasi kwa wananchi wamechoka. Wewe kama upo huko au una ndugu yako huko uliza uambiwe.
 
UNAIJUA CV YA KM WA WIZARA YA AFYA,JINSIA, JAMII, WAZEE NA WATOTO- AU UNASEMA TU NI '' MD' - JIONGEZEEE KIDOGO NDUGU!
Si ungesema wewe unaeijua maana mi nimehitimisha kwa sababu sioni other skill display ya majukumu yake kulingana na changamoto za afya and its allied services.

We unaona chochote kutoka kwakwe kulenga shabaha hiyo maana haya malalamiko kila wanapopita wanayakuta, changamoto za watoto ndio usiseme, afya ya jamii ndio kabisa kipundu pindu sasa miaka mitatu na milipuko ikitoka huku ina amia kule.

Huku kukurupupa kwa maamuzi na lawama zisizo na tija sasa imekuwa fashion yes kuna watu ethics za kazi, kuna watu awajali tena wagonjwa kama taaluma inavyowataka lakini kwa namna serikari inavyofanya mambo na madaktari pia wameanza kuwa self defensive; by the way jana pia sinza kuna mgonjwa kafariki kwa kucheleweshewa drip ya maji, lord have mercy sidhani kama angepelekwa kiongozi hiyo drip ingekosekana subiri uone nesi atakavyo tafutwa kutolewa kafara.
 
Habari wana JF, hivi karibuni tumeona tukio moja likitokea huko Mtwara la Kusimamishwa Daktari mmoja aliyehusika katika kuomba rushwa kutoka kwa mgonjwa aliyetakiwa kufanyiwa upasuaji.

Japo ushahidi ni mgumu wa mazingira ya hiyo rushwa, ni ukweli usio na kificho kuwa Wahudumu wa afya walio wengi wamekuwa si waaminifu tena wasiokuwa na chembe ya huruma kwa binadamu wenzao kiasi cha kutojali uhai wa wagonjwa wanaowahudumia.

Tukio la Mtwara limefuatana na matukio mawili ya kusikitisha yaliyotokea katika jiji la Mwanza, wilaya ya Nyamagana kwenye hospitali ya wilaya ya Nyamagana (Butimba) na hospitali ya mkoa ya Sekou Toure.

Likitangulia la hospitali ya Butimba, mama mmoja alijifungulia chooni watoto mapacha na wakafariki kwa kile kilichodaiwa ni uzembe wa manesi waliokuwa wakimtolea kauli chafu mjamzito huyo kuwa awaite Majaliwa na Magufuri waje wamhudumie.

Tukio jingine lililofuatia ni kufariki kwa mama na watoto wake mapacha katika hospitali ya mkoa (Sekou Toure) kwa kucheleweshwa kuongezwa damu.

Kutokana na matukio hayo, kuna manesi na madaktari wametiwa nguvuni kutokana na kasi iliyopo sasa ya kurejesha nidhamu na uwajibikaji katika utumishi wa umma.

Sasa Madaktari wamefanya mgomo katika hospitali ya Butimba kwa madai wanaogopa usalama wa kazi yao kwa kuwa wao hawawezi kuzuia kifo kwa mgonjwa pale muda wake unapokuwa umefika.

Mheshimiwa Rais, sichelei kusema hawa madaktari wanataka kutunishiana misuli na serikali yako kwa kile kilichotokea Mtwara. Kwanini Wananchi wote wanaokumbwa na masahibu haya kutoka kwa wahudumu wa afya katika maelezo yao wanaambiwa wawaite Majaliwa na Magufuli wawahudumie?

Mheshimiwa watumie vijana wako wa TISS wakupe taarifa kamili ili ujue utapambana vipi na udhalimu wa baadhi ya watumishi wa afya ambao wanafikiri kuwa wao ni bora katika jamii kuliko watu wengine wakisahau kuwa wao pia ni product ya mwalimu, hivyo tunaishi kwa kutegemeana.
inabid hao viongoz wanaowataja waangalie namna ya kiweka mambo sawa ikiwa na elimu kutolewa mtoa hudumu na mhudumiwa wanategemeana pasitokee upande mmoja ukawa unasikilizwa sna patatokea madhara makubwa naoana kama sisi raia tumevimba sasa yani muda wote tunataka tabaka flani liwe linawajibishwa tu kumbuka nao wale ni binadamu
 
Si ungesema wewe unaeijua maana mi nimehitimisha kwa sababu sioni other skill display ya majukumu yake kulingana na changamoto za afya and its allied services.

We unaona chochote kutoka kwakwe kulenga shabaha hiyo maana haya malalamiko kila wanapopita wanayakuta, changamoto za watoto ndio usiseme, afya ya jamii ndio kabisa kipundu pindu sasa miaka mitatu na milipuko ikitoka huku ina amia kule.

Huku kukurupupa kwa maamuzi na lawama madaktari pia wameanza kuwa self defensive; by the way jana pia sinza kuna mgonjwa kafariki kwa kucheleweshewa drip ya maji, lord have mercy sidhani kama angepelekwa kiongozi hiyo drip ingekosekana subiri uone nesi atakavyo tafutwa kutolewa kafara.
HIVI WALIOTEULIWA WALIOKUWA NA DEGREE ULIYOITAJA HAPO JUU WAMEIFANYIA NINI AFYA YA NCHI HII, AU LABDA UTUAMBIE NI WEWE MWENYE HIO DEGREE NA UNATAKA JPM AKUTEUE UTULETEE HAYO MABADILIKO UNAYOYAHISI UNAWEZA KUYALETA , OTHERWISE MI NAKUONA NI WALE WALALAMIKAJI WA MITANDAONI AMBAO WANADANDIA HOJA BILA KUWA NA DATA ZA KUTOSHA AU KUJUA HALI HALISI!
 
Habari wana JF, hivi karibuni tumeona tukio moja likitokea huko Mtwara la Kusimamishwa Daktari mmoja aliyehusika katika kuomba rushwa kutoka kwa mgonjwa aliyetakiwa kufanyiwa upasuaji.

Japo ushahidi ni mgumu wa mazingira ya hiyo rushwa, ni ukweli usio na kificho kuwa Wahudumu wa afya walio wengi wamekuwa si waaminifu tena wasiokuwa na chembe ya huruma kwa binadamu wenzao kiasi cha kutojali uhai wa wagonjwa wanaowahudumia.

Tukio la Mtwara limefuatana na matukio mawili ya kusikitisha yaliyotokea katika jiji la Mwanza, wilaya ya Nyamagana kwenye hospitali ya wilaya ya Nyamagana (Butimba) na hospitali ya mkoa ya Sekou Toure.

Likitangulia la hospitali ya Butimba, mama mmoja alijifungulia chooni watoto mapacha na wakafariki kwa kile kilichodaiwa ni uzembe wa manesi waliokuwa wakimtolea kauli chafu mjamzito huyo kuwa awaite Majaliwa na Magufuri waje wamhudumie.

Tukio jingine lililofuatia ni kufariki kwa mama na watoto wake mapacha katika hospitali ya mkoa (Sekou Toure) kwa kucheleweshwa kuongezwa damu.

Kutokana na matukio hayo, kuna manesi na madaktari wametiwa nguvuni kutokana na kasi iliyopo sasa ya kurejesha nidhamu na uwajibikaji katika utumishi wa umma.

Sasa Madaktari wamefanya mgomo katika hospitali ya Butimba kwa madai wanaogopa usalama wa kazi yao kwa kuwa wao hawawezi kuzuia kifo kwa mgonjwa pale muda wake unapokuwa umefika.

Mheshimiwa Rais, sichelei kusema hawa madaktari wanataka kutunishiana misuli na serikali yako kwa kile kilichotokea Mtwara. Kwanini Wananchi wote wanaokumbwa na masahibu haya kutoka kwa wahudumu wa afya katika maelezo yao wanaambiwa wawaite Majaliwa na Magufuli wawahudumie?

Mheshimiwa watumie vijana wako wa TISS wakupe taarifa kamili ili ujue utapambana vipi na udhalimu wa baadhi ya watumishi wa afya ambao wanafikiri kuwa wao ni bora katika jamii kuliko watu wengine wakisahau kuwa wao pia ni product ya mwalimu, hivyo tunaishi kwa kutegemeana.
Achwni siasa kwenye professional za watu,watu watakapoamua kuweka silaha hapa msilalamike
 
Ndugu inaonekana kama kuna mass mobilization dhidi yao sasa, nani kamobilize jamii dhidi ya watu wa afya?......... sikatai kuwa afya kuna matatizo, nadhani njia wanazo zitumia kuwajibisha watovu wa nidhamu ndo zenye matatizo .
mmmmmmmm
 
HIVI WALIOTEULIWA WALIOKUWA NA DEGREE ULIYOITAJA HAPO JUU WAMEIFANYIA NINI AFYA YA NCHI HII, AU LABDA UTUAMBIE NI WEWE MWENYE HIO DEGREE NA UNATAKA JPM AKUTEUE UTULETEE HAYO MABADILIKO UNAYOYAHISI UNAWEZA KUYALETA , OTHERWISE MI NAKUONA NI WALE WALALAMIKAJI WA MITANDAONI AMBAO WANADANDIA HOJA BILA KUWA NA DATA ZA KUTOSHA AU KUJUA HALI HALISI!
Kwanini hakuna sababu ya kuangaika na watu wa chini, kwakuwa katibu mkuu ndio chief architect wa wizara anatakiwa aijue health service ya Tanzania inside out and has been involved in policy making decision katika hiyo sector at some levels: kwa hivyo unatarajia mentions and measures za serikari kwanza sawa tumesikia hizo na sio sawa kabisa kuanza kumlaumu mtu baada ya miezi mitatu ya kazi.

Lakini tone ya hawa jamaa so far and public leadership display its enough to suggest where this sector is going during their tenure kwa jinsi wanavyo approach matatizo; kunaweza kuwa na watu waliosomea hayo mambo lakini je wao ndio decision makers or what is their role kwenye swala zima la mapendekezo.

Worst off hii wizara sasa wameiga jinsi wizara ya afya UK ilivyo wasicho kijua huko waliko copy this is the most regulated and professionalism oriented ministry of them all na ina siasa kubwa sana kwa sababu ambazo zina influence wizara karibu zote wao wakiwa ndio drivers wa jamii; sasa unaposikia watu wanasema watoto wa mtaani wasombwe, sijui nesi avae jina lake, kubembelezana malipo ya electronic kwanza inawezekana vipi kudaiwa rushwa na dr I cant imagine where such an opportunity can occur in health services kama system ziko sawa, sijui dawa zinaibiwa and so forth it doest make sense kwa mtu anaelewa japo theoretically and systematically how these things are done; hii wizara kutatuwa matatizo kwa timu ya sasa na approach tu unaona sio sawa kabisa ndio maana mambo yale yale yapo in circles.

Mtu anapokoselewa anatakiwa ajifanyie tathmini na kujirekebisha sio lazima mtu awe anataka kazi au nafasi yake siwezi kukosoa operation procedures kwa sababu sina uelewa wa kazi ya daktari lakini nina elewa jinsi ya kumsimamia daktari kufanya kazi kwa tija na hapa system na management inapwaya kuanzia juu hilo liko wazi.
 
Tazama hiyo video makosa yaliyotokea kwenye hospitali moja tu during an operation procedure kutokana na culture ya dr kujiona mjuaji kushinda nesi na kupoteza maisha ya mtu unnecessary; matokeo yake jinsi sector nzima inavyobadilishwa kisera and operation processes.

Sio sisi kila siku huku sijui huyu kakuta hakuna manesi, huyu kaenda kule katepeliwa, huku tatizo liko hivi sasa kuna kazi gani ya kuwa na wataalamu wasioweza kufanya standardization ya huduma japo kwa 80% maana kila mahala kiongozi akifika anazungukwa na services users wenye malalamiko kwa wingi bado tu tunataka kutetea hawa watu wabovu kweli.
 
Mkuu kuna vitu huwa havisemwi ktk utendaji mbovu wa sector ya afya pamoja na mapungufu ya watumishi, jamii haijui kuwa bajeti za afya huwa funded na selekali kwa %30 au pungufu!!!

Tazama hiyo video makosa yaliyotokea kwenye hospitali moja tu during an operation procedure kutokana na culture ya dr kujiona mjuaji kushinda nesi na kupoteza maisha ya mtu unnecessary; matokeo yake jinsi sector nzima inavyobadilishwa kisera and operation processes.

Sio sisi kila siku huku sijui huyu kakuta hakuna manesi, huyu kaenda kule katepeliwa, huku tatizo liko hivi sasa kuna kazi gani ya kuwa na wataalamu wasioweza kufanya standardization ya huduma japo kwa 80% maana kila mahala kiongozi akifika anazungukwa na services users wenye malalamiko kwa wingi bado tu tunataka kutetea hawa watu wabovu kweli.
 
Kwanini hakuna sababu ya kuangaika na watu wa chini, kwakuwa katibu mkuu ndio chief architect wa wizara anatakiwa aijue health service ya Tanzania inside out and has been involved in policy making decision katika hiyo sector at some levels: kwa hivyo unatarajia mentions and measures za serikari kwanza sawa tumesikia hizo na sio sawa kabisa kuanza kumlaumu mtu baada ya miezi mitatu ya kazi.

Lakini tone ya hawa jamaa so far and public leadership display its enough to suggest where this sector is going during their tenure kwa jinsi wanavyo approach matatizo; kunaweza kuwa na watu waliosomea hayo mambo lakini je wao ndio decision makers or what is their role kwenye swala zima la mapendekezo.

Worst off hii wizara sasa wameiga jinsi wizara ya afya UK ilivyo wasicho kijua huko waliko copy this is the most regulated and professionalism oriented ministry of them all na ina siasa kubwa sana kwa sababu ambazo zina influence wizara karibu zote wao wakiwa ndio drivers wa jamii; sasa unaposikia watu wanasema watoto wa mtaani wasombwe, sijui nesi avae jina lake, kubembelezana malipo ya electronic kwanza inawezekana vipi kudaiwa rushwa na dr I cant imagine where such an opportunity can occur in health services kama system ziko sawa, sijui dawa zinaibiwa and so forth it doest make sense kwa mtu anaelewa japo theoretically and systematically how these things are done; hii wizara kutatuwa matatizo kwa timu ya sasa na approach tu unaona sio sawa kabisa ndio maana mambo yale yale yapo in cir
Mtu anapokoselewa anatakiwa ajifanyie tathmini na kujirekebisha sio lazima mtu awe anataka kazi au nafasi yake siwezi kukosoa operation procedures kwa sababu sina uelewa wa kazi ya daktari lakini nina elewa jinsi ya kumsimamia daktari kufanya kazi kwa tija na hapa system na management inapwaya kuanzia juu hilo liko wazi.
AISEE UNGEEANDIKA KISWAHILI UNGEELEWEKA SANA KULIKO KUJICHANGANYA NA LUGHA YA NCHI NYINGINE NA TAMADUNI NYINGINE, HUO NDIO ULIMBUKENI WA WABONGO WA STAILI YA KWAKO, KUJIFANYA WAJUAJI KUMBE NI MABOYA TUU, SASA HAPA UMEJICHANGANYA SANA MKUU, INAONEKANA MASWALA YA DUNIA YAHUSUYO AFYA HUYAJUI VYEMA, UNACHANGIA BILA KUSOMA VYEMA VITU! SINA HAJA KUKUELEWESHA NENDA NAKUPA ZOEZI, KATAFUTE TAARIFA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI, TAARIFA ZA AFYA ZA UINGEREZA, ZA MAREKANI, CHINA, URUSI, AFRIKA KUSINI, KENYA NA NCHI NYINGINE DUNIANI JUA MAFANIKIO YAO NA CHANGAMOTO ZAO, HALAFU LINGANISHA NA TANZANIA , USIKURUPUKE TUU NA KISWANGILISHI CHAKO, TENA KIINGEREZA KIBOVU SANAAA!
 
lipo tatizo la watu kutokujua wajibu wao, mwalimu mkuu anakuwa mhasibu na afisa manunuzi anatembea na proforma mtaani, daktari anakuwa mfamasia afisa masoko anakwambia kanunue dawa kule au pale tena hii, waachwe wafamasia wawaeleze wagonjwa hii dawa hakuna ipo hii muulize docta wako kama inakufaa,

namatrafik nao watuambie gari bovu mpelekee athumani pale gerezani ntakuja nilikague, au?
mkuu c kila kituo cha afya au disoensary ina pharmacist sehemu zngne wamewekwa tu nurses wafanye majukum hayo kutokana na uhaba wa staffs hvyo daktari inabidi uwe na nafac kubwa sana...unachoongea ni hswa kinchotakiwa kufanywa lakini hcho kinawezekana kama mko full team of staffs hamna mapenfo kwe kituo chenu cha kazi
 
Mkuu kuna vitu huwa havisemwi ktk utendaji mbovu wa sector ya afya pamoja na mapungufu ya watumishi, jamii haijui kuwa bajeti za afya huwa funded na selekali kwa %30 au pungufu!!!
Mkuu hilo linajulikana ndio maana nikasema katika mawaziri waliongia ni mmoja tu ndiyo aliyediriki kusema atowataka watu wafanye maajabu yaliyo nje ya uwezo wa wizara.

Budget yetu imekuwa ikipangwa kila mwaka sijui kwa utaratibu gani na aifikii malengo yake yaani huko nako kuna uzembe mkubwa inataka mada yake yenyewe of discussion ya uwezo wa wapanga budget yetu. It just doesnt make sense wewe upange budget kila mwaka halafu matokeo yake kuwe na large amounts of variation to actual results na bado tukuite mtaalamu, achilia mbali makusanyo hafifu bado ushindwe kuiambia serikari mnapotaka kuchukua hela huku mjue sehemu zingine zitakwama kama azikupangiwa budget.

Alikadhalika kuna vitu vingine ni usimamizi imara tu wa processes kuondoa uzembe hilo alihitaji pesa nyingi kufanyika bali ubunifu na uelewa chukulia huu mfano hapo chini uliomuondoa mtu aliyekuwa anahusika na usimamizi wa sector katika jimbo (pamoja na wafanyakazi kadha kwa kushindwa ku implement sheria; procedural wise kuwalinda watoto).

Matokeo ya vitu kama hivyo nchi za wenzetu inapelekea kubadilishwa kwa system ya nchi nzima kisera juu ya ulinzi wa watoto na kuwekwa module nzima chuoni ya safeguarding and partnership kwa watu wanaosomea mambo ya huduma ya mstari wa mbele ili kuwaanda zaidi; pamoja na sheria na mlolongo chain zake ie policy, frameworks na usimamizi unaweza kukagulika hadi huko chini (hiyo ndio shughuli ya wataalamu).

Hicho ni kipande tu kuna video za mpaka masaa mawili on what transpired kwenye hili sakata; hoja yangu ni wataalamu ndio wanatakiwa kuja na mikakati kutatua hizi changamoto, leo kuna watoto wangapi huko vijijini welfare zao utata, kuna partnership gani ya wizara husika na taasisi zingine za serikari kupambana na unywanywasaji wa watoto, inakuaje kasi ya watoto wa mitaani inakuwa siku hadi siku kuna early intervention gani kuzuia, primary intervention policies zipi and services zipi available kwa wahanga kupata life chances (wao ndio kwanza wanataka wasombwe kwenye magari wakawatupe wanakojua).

Bado ujagusia system za afya tunaposema Ummy Mwalimu na timu nzima are not qualified sio majungu ni kwamba hana huo uwezo na haya mambo yanaawaathiri watanzania wengi kisa uongozi mmbovu wa wizara nyingi tu.
 
We nurses tunakaa na wagonjwa 24hrs we nurse them we love our patient lkn people don't care don't value ,mistake zipo km binadamu no one z perfect,mazingira co Rafiki lkn tunajitoa muhanga,msibase kwenye weakness some time u have to appreciate our care na ikifika mda mungu ameamua we hv no way,we treat but god heal,serikali kuna watu muhimu sana manessi their basic unit of care,naomba kuwaclisha
shida ya viongozi wenyew nao wanfny kitu ili wananchi waone wanatenda kazi but kwa issue kama iliyotokea mwanza ni heri panel ya wataalamu wa taaluma husika ingepewa jukumu la kuchunguza kilichotokea ila ukianza tu kufukza mkurugenz wa hospital madaktari cjui nurses bila kuwa uelewa na tatizo inakuwa c sahihi.....sasa hata wagonjwa wananza kupiga nurses jisa kitnda hamna sasa cjui nurse anahusika nini na upungufu wa vitanda hospitali!!
 
Wanasiasa ni vinara wa kuwachonganisha wafanyakazi wa umma na wananchi. Wananchi, kwa umbumbu wao, wanawasikiliza wanasiasa na kuwatukuza (utasikia wakisema "....kawatumbua". Ili hali hao wanasiasa wakipata hata mafua tu hawapangi foleni pamoja na hao wagonjwa waliokuwa wanawatetea ili kupata huduma kwa hao wahudumu 'waliowaadhibu'.
Elimu ya Bongo ilianza kudorora pale wanasiasa walipoanza kuwashikiza waalimu wakuu wa shule za msingi kufaulisha (usipofaulisha hata kama wanafunzi ni mazuzu, unanyang'anywa cheo), mpaka jamii inaona matokeo yake i.e wanafunzi wanaingia kidato cha kwanza ili hali hajui kusoma na kuandika kwa ufasaha wa darasa hata la saba.
Naona sekta ya afya nayo imekuwa uwanja wa wanasiasa kujipatia umaarufu hasa zama hizi za Magufuli, huku wengine wao wakijua wazi mazingira kazi ni ,agumu, hakuna vitendea kazi, wananchi wengi hawajui mambo ya afya, .... Sipendi kuutabiri mwisho wake. Mungu ibariki Tanzania.
 
shida ya viongozi wenyew nao wanfny kitu ili wananchi waone wanatenda kazi but kwa issue kama iliyotokea mwanza ni heri panel ya wataalamu wa taaluma husika ingepewa jukumu la kuchunguza kilichotokea ila ukianza tu kufukza mkurugenz wa hospital madaktari cjui nurses bila kuwa uelewa na tatizo inakuwa c sahihi.....sasa hata wagonjwa wananza kupiga nurses jisa kitnda hamna sasa cjui nurse anahusika nini na upungufu wa vitanda hospitali!!
Kabisa mkuu sector nzima inataka review ya wataalamu nini kifanyike (tena wizara nyingi tu) huu mwanzo wa hawa majamaa ndio maana tunapata mashaka na uwezo wenyewe au kama teuzi zimezingatia skills right for ministiries tasks.

Mtu kujifanya anapenda kuwa champion wa akina mama aina maana unazijua na changamoto ya wizara if anything si angeenda kuongoza huko UWT na CCM wenzake lakini sio matatizo ya taifa wapewe watu wasio na uwezo this is unacceptable.
 
mkuu c kila kituo cha afya au disoensary ina pharmacist sehemu zngne wamewekwa tu nurses wafanye majukum hayo kutokana na uhaba wa staffs hvyo daktari inabidi uwe na nafac kubwa sana...unachoongea ni hswa kinchotakiwa kufanywa lakini hcho kinawezekana kama mko full team of staffs hamna mapenfo kwe kituo chenu cha kazi
ukiangalia kwa umakini mvutano upo katika hospital za wilaya na mkoa, sio kwenye vituo vya afya vya kata huko hakuna vitanda vya kujifungulia na wananchi wanalijua hilo na watumishi walisharidhika na maisha yao. Hawa miunguwatu waliopita muhimbili ndio wenye tatizo hasa, walishazoea kuwagomea bodi ya mikopo wanadhani wanaweza gomea kila mtu.
 
Back
Top Bottom