Kimbito nyama
Senior Member
- Apr 10, 2012
- 157
- 38
Hizo busara baada ya kwenda Ikulu? wameufyata, waziri yuleyule na naibu yuleyule. Si walijidai kumpa ultimatum Rais?
Cheza na dola wewe?
IQ ya madaktari ni level ya juu sana kwako. Unataka wakupe ripoti kwani wewe pia daktari? Endelea kufikiria kwa kutumia masaburi.
Wewe ni mmojawapo wazee wa DSM au ni kilaza tu wa kawaida kama hao mawaziri wako uliowataja? hao mawaziri unaowataja unajua wanamahusiano ya aina gani sasa na watumishi wa Afya? Dr. Chitage amesha eleza vyema kinachoendelea, wewe baki kupiga makofi diamond tu? hawa ni walewale wanaougua wanakufa kabla ya kufika kwa daktari! hata hivyo wewe ni mgonjwa.
Madaktari walikumbana na nini Ikulu? vinara wa mgomo hatujawasikia tena, hata kwii hakuna.
Mlitaka kuonana na Mkulu nyinyi wenyewe, vipi? tupeni mkasa wa huko, maana hii si kawaida. Kuna fununu kuwa wale vinara wote hawataki hata uongozi wa hicho chama cha madaktari, kwa ufupi wameufyata.
Madai yenu hayajatimizwa, na kuufyata mmeufyata na nna uhakika mmekoma na hamtorudia tena, labda waje viongozi wengine ambao hawajui yaliyowafanya muufyate. Kwi kwi kwi Teh teh teh.
Cheza na dola nyinyi.
Mmmmmh utabakia kujichekesha tu, unajua tofauti ya mshahara kabla ya mgomo na baada ya mgomo wewe??
Na unafahamu JK kwann alitaka tunyamaze, aliomba sana ili tusije kuprovoke kada nyingine akawa na wakati mgumu zaidi.:smile-big:
Taarifa rasmi ni kwamba hadi sasa vikao vya majadiliano kati ya madaktari na team ya serikali bado vinaendelea na taarifa ya majadiliano hayo itatolewa kwa madaktari na wadau wengine muda si mrefu.Ni lazima ieleweke kwamba hakuna vitisho wala kunyamazishwa kwa viongozi wa madktari.
Lengo letu ni kutafuta suluhu ya kudumu itakayopelekea mgogoro kama huu usijirudie tena na kama ukitokea basi utatuliwe mapema bila kuathiri wagonjwa kama ilivyotokea.
DR.EDWIN CHITAGE
MJUMBE WA KAMATI YA MAJADILIANO.