IQ ya madaktari ni level ya juu sana kwako. Unataka wakupe ripoti kwani wewe pia daktari? Endelea kufikiria kwa kutumia masaburi.
Taarifa rasmi ni kwamba hadi sasa vikao vya majadiliano kati ya madaktari na team ya serikali bado vinaendelea na taarifa ya majadiliano hayo itatolewa kwa madaktari na wadau wengine muda si mrefu.Ni lazima ieleweke kwamba hakuna vitisho wala kunyamazishwa kwa viongozi wa madktari.Lengo letu ni kutafuta suluhu ya kudumu itakayopelekea mgogoro kama huu usijirudie tena na kama ukitokea basi utatuliwe mapema bila kuathiri wagonjwa kama ilivyotokea.
DR.EDWIN CHITAGE
MJUMBE WA KAMATI YA MAJADILIANO.

kweli a fool is always a fool......sasa we hii post yenye kejeli kwa madaktari umeifungua ili kutaka kudhiirisha nini??kwamba madaktari wameshindwa nini na dola???....i mean are you really serious???do you know what you are writing??....yaani madaktari wamefyata nini???...we makubaliano ya madaktari na rais unayajua????au umeamua tu kuleta chokochoko humu???....wakati mwingine ujinga mwingine ni vigumu sana kuuvumilia yaani........yaelekea wewe na ndugu zako huugui na labda ukiugua unatibiwa na miti shamba au matunguli ya kichawi....maana kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuja humu na kuanza kuwakejeli madaktari......you are a big fool.........Madaktari walikumbana na nini Ikulu? vinara wa mgomo hatujawasikia tena, hata kwii hakuna.
Mlitaka kuonana na Mkulu nyinyi wenyewe, vipi? tupeni mkasa wa huko, maana hii si kawaida. Kuna fununu kuwa wale vinara wote hawataki hata uongozi wa hicho chama cha madaktari, kwa ufupi wameufyata.
Madai yenu hayajatimizwa, na kuufyata mmeufyata na nna uhakika mmekoma na hamtorudia tena, labda waje viongozi wengine ambao hawajui yaliyowafanya muufyate. Kwi kwi kwi Teh teh teh.
Cheza na dola nyinyi.
another fool.......Ribosome Nakuunga mkono mkuu kabla ya kuonana na Raisi yalikuwa yanapiga mikelele ili kutafuta sympathy ya wananchi miuwaji mikubwa ile imechimbwa mkwara karibu ijiharishie kwa woga sasa hivi inapiga mzingo kwa maslahi yaleyale wanataka mkuu asisafiri ili hiyo hela walipwe wao? Mbona walivyokutana na waziri mkuu walituambia yaliojiri kwenye mkutano. hawana lolote hawa wanaiba dawa na vifaa wanapeleka kwenye dispensary zao sasa wanataka Serikali iongeze vifaa na madawa ili waibe zaidi mafisadi ya roho za watu mkwara mmoja tu kimya kwi kwi kwi kwi kwi!!!!!!1
Madaktari walikumbana na nini Ikulu? vinara wa mgomo hatujawasikia tena, hata kwii hakuna.
Mlitaka kuonana na Mkulu nyinyi wenyewe, vipi? tupeni mkasa wa huko, maana hii si kawaida. Kuna fununu kuwa wale vinara wote hawataki hata uongozi wa hicho chama cha madaktari, kwa ufupi wameufyata.
Madai yenu hayajatimizwa, na kuufyata mmeufyata na nna uhakika mmekoma na hamtorudia tena, labda waje viongozi wengine ambao hawajui yaliyowafanya muufyate. Kwi kwi kwi Teh teh teh.
Cheza na dola nyinyi.
By Ribosome
Walikuwa si watetezi bali wauwaji, huwezi cheza na maisha ya wagonjwa eti kwa kuwa unatetea maslahi ya wagonjwa wengine. Huo ni punguani wa hali ya juu. Walichokipanda wamekivuna na nnajivuna kuwa na Rais kama Kikwete ambae amewafanya waufyate.
Nna uhakika wamekoma na hawatothubutu tena.
By Ribosome
Hali inajulikana na jitihada za kuboresha huduma ya afya inajulikana toka Kikwete aingie madarakani. Ni mengi sana kayafanya, pita vijijini ukaone vituo vya afya vipya, vinapendeza, hao madaktari mbona wanagoma kwenda huko kama ni kweli wanapenda kusaidia wenzao.
Hao walijidai wajanja, Kikwete alikuwa kimya siku zote, alipokutana nao wanajuwa walichokumbana nacho kutoka huko kimya, wameufyata. Na nnakuhakikishia watakuwa na adabu daima.
kweli a fool is always a fool......sasa we hii post yenye kejeli kwa madaktari umeifungua ili kutaka kudhiirisha nini??kwamba madaktari wameshindwa nini na dola???....i mean are you really serious???do you know what you are writing??....yaani madaktari wamefyata nini???...we makubaliano ya madaktari na rais unayajua????au umeamua tu kuleta chokochoko humu???....wakati mwingine ujinga mwingine ni vigumu sana kuuvumilia yaani........yaelekea wewe na ndugu zako huugui na labda ukiugua unatibiwa na miti shamba au matunguli ya kichawi....maana kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuja humu na kuanza kuwakejeli madaktari......you are a big fool.........
All i can say's Mungu akusamehe hapa duniani na akhera.. Hujui ulitendalo..
Unawakejeli wakati walikuwa wanakutetea wewe ili upate kupata vipimo vyote pindi uendapo hospitali za serikali au wewe ndiwe mwimbili ndo airport yako then matibabu India
Mwambie huyo. Akiugua atalijua jiji. Kwa sasa mwache awe domo kaya.
Inasemekana walionyeshwa majalada yao na dili zao hawakuamini kabisa, kuna jamaa anasema waliletewa mawasiliano yao kwa baadhi ya viongozi wa kisiasa, wakabaki wameduwaa!
we unacheza ana JK?mwanajeshi wa ukweli!