madaktari muhimbili WACHAFU

Harafu wanaongoza kwa kutoa siri za wagonjwa bar . Wapo kaunta Utawasikia usimuone vile yule demu usimuone vile mzuri alikuja hospital ana ukurutu kwenye mapaja. Mara utawasikia KIBONGE ana ngoma nimempa leo ARV

Ati KIBONGE? Kwi!kwi!
 
Jamani msikurupuke. Hiizo flats ni za NHC. Zimepangishwa kwa Muhimbili National Hospital ambayo nayo imepangisha madaktari wanaosomea degree ya pili ya udaktari bingwa. Miaka nenda rudi, wamiliki (NHC), MNH, pamoja na wahusika wa maji taka (DAWASCO) wameshindwa kutatua shida ya mfumo wa maji safi na taka. Sasa nyie mnataka hao madaktari wazibue na kujenga mfumo wa taka kwa mikono yao? Kumbuka, wanaoishi kwenye hizo flats hupangishwa kwa muda usiozidi miaka mitatu tu na kupangishwa watu wengine tena.

Na hao ni madaktari wanafunzi wa MMed, ambao hushinda wodini kwa saa 18 plus kila siku wakitibu na kupiga shule. Muda hawana kwa kweli, nyie laumuni tu.
 
hivi ukipanga nyumba kwa miaka mitatu ndio hao hao NHC wakufanyie usafi? Wakufungie maji ukifungulia? Wakuchimbie mashimo ya taka? HIVI MKIACHA KUNYWA BIA MOJA MOJA KILA MMOJA TU KWA WEEK 1. hamuwezi kujichangisha na kuchimbisha shimo la taka . Maana hata wanawake hamuhongi mnawapata bure kwa kupitia u dokta wenu

Kumbe ndo maana una wivu kwa vile wenzio wanapewa bure, wewe unanunua.
Na dhana ya kuwa madaktari ndo walevi, wkt ht hawazid 5000 nchini, hv hizo bar zote huwa anajaza nani?
We kweli ulifeli PCB, ukashindwa timiza ndoto zako, una uchungu mkali na wana taaluma hiyo.
Kuhusu umeshaambiwa hao jamaa wanakuwa wodini kwa 18-24 hrs, unadhani akifungua hayo maji, na akatoka, hatakuta yameover flow?
Na asipofungua, maji yenyewe ya mgao, si anaweza kutooga wk nzima?
 
Duh nimecheka sana kweli ma dokta wa sasa vilaza. Sasa dokta SLAA ameingiaje hapo kwenye uchafu wenu? Kuna mwingine ndio hana upeo kabisa bado ana idea za kizamani anadhani watu wote wenye ni lazima wawe madaktari. Lets mimi nilienda kusomea mambo ya acounts au tax. Sasa hivi nafanyakazi BOT au nipo supervisor MIZANI KIBAHA. huo mshiko wangu hunipati hata robo utaishia kuniomba bia tu bar. Na siku nikuguliwa nikakupigia simu utakuja unakimbia kama kuku wa kienyeji kuja kunitibu upate hela ya kula

Ni pesa zako na familia yako, pesa zenyewe chafu, za wizi na rushwa.
Daktari anabaki na pesa yake ndogo, safi, na heshima yake, akitoa huduma kwa umma. Pia anabaki na elimu yake na uelewa mpana kabisa, na amani ya nafsi.
 
Suala hapa si ubize wa madaktari,suala ni afya ya mtu mwenyewe.Haiwezekani ndani ya wiki nzima wanashindwa kujimobilize na kujifanyia usafi ikiwemo kujizibulia vyoo.Suala hapa ni huo uwajibikaji wa dhati na wala si vinginevyo.Hili suala lina aina ya uzembe,kama huwezi kujijali mazingira unayoishi,utamhudumiaje mgonjwa aliyeko wodini??!Doctors use your humanly possible means to keep ur environment healthy and safe bwana!!
 
Back
Top Bottom