Madaktari mpo

Madaktari mpo

Sky Eclat hivi ukienda kwa dakitari akakuta una malaria, UTI (bacterial infecton), unaumwa migrane all at the same time, daktari anafanyaje? anakupa dawa moja tu?
 
Hapana Ila anaangalia interactions kama hazina madhara unatibiwa. Mara nyingi wagonjwa wa HIV wakiwa na TB huanza mutinies TB kwanza kuzuia interaction.
Good, lakini naibu amesema without exception kuwa hakuna kumpa mtu dawa zaidi ya moja in all circumstances, msikilize, hakuweka caution kama wewe. Nakubaliana na wewe... nadhani wanaita contraindication/interaction????? (sina uhakika)
 
Ngoja tusuburi wengine watasema nini. Labda ndiyo alivyifundishwa chuoni
 
Back
Top Bottom