nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,281
- 3,243
- Ndugu zangu madaktari poleni kwa pilika ila niseme tu kazi ndio inaanza.........hawa serikali wameamua kuja kwa mtindo wao wa siku zote wa divide and rule na hapa ndipo migomo mingi yenye madai ya msingi inapokwamaga.....kwa maana ya watu kugawanyika makundi na hivyo tija nzima ya migomo kukosekana na watu kuishia kusalitiana.Ndugu zangu mlipoamua kugoma (wiki nzima sasa)mlikuwa na malengo na matatizo yenu yameshakubalika na nchi nzima kuwa ni ya msingi kabisa....
- Ninachotaka kusisitiza sasa ni kuwa msije mkakubali kutishika na vitisho vilivyotolewa na serikali kwani hakika mkigawanyika hamtasikilizwa....believe me....mkigawanyika sasa matatizo ya msingi kabisa kamwe hayatapatiwa ufumbuzi....we all know this government....
- Rai yangu kwenu.....kesho jumatatu ni siku ya nyie kuwa kitu kimoja kuliko siku zote...(mmeshakaa wiki sasa kwenye mgomo)........believe me..mkiendelea na mgomo serikali hii haina jinsi zaidi ya kukaa na nyie kuzungumza......namaanisha madaktari nchi nzima kesho chondechonde asiende mtu kazini........mtaendaje kazini wakati madai yenu hayajapatiwa ufumbuzi???????mmegoma wiki nzima ili keshoo mrudi kazini bila kusikilizwa???haitakuwa na logic hata kidogo ndugu zangu....hata manesi watawashangaa.......ila mkiendelea na mgomo hata manesi watawaunga mkono....hata wagonjwa wenyewe watataka serikali iwasikilize...fanyeni hivyo na matokeo yake mtayaona...believe me.......serikali ikileta madaktari wengine itabidi iwalipe kama ambavyo ingetakiwa iwalipe nyie....kwanza kuna madaktari wangapi wa ziada nchi hii feki??please and please.....mlishaamua kugoma don't give it up to this pathetic government........by the way...wagonjwa nao wanasema wanataka serikali iwalipe madaktari ili wawahudumie wagonjwa vizuri........daktari mwenye hasira anamtibuje mgonjwa?????????