hosipitali yangu ni muhimbili na mimi mwenyewe,lakini pia hata mimi nimepoteza ndugu wawili, juzi na jana.Ni lazima tujifunze kuheshimu taaluma na kuwapa sitahiki zao,kamwe sitabadili kauli yangu,wanahitaji kuthaminiwa na kusikilizwa kwa upendo nimewashuhudia wakifanya kazi kwa shida sana.
Mji Mkongwe, naomba ukajifunze maisha na mazingira magumu waliomo please,naomba tuungane nao japo wapate nusu ya kile wanachokiomba.
siyo kwamba Viongozi hawaelewi,bali Viongozi tulionao leo hawajui thamani ya watu wanaowaongoza.
Ndiyo maana wanaweza kupeana maagizo rahisi sana,na kwa wepesi sana.
nimesikitishwa na kauli ya waziri eti alikuwa na safari ya kwenda Arusha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
NINI MAANA YAKE HAKUONA UMUHIMU WA MADAKTARI BALI ALIONA UMUHIMU WA MFU ALIYEMALIZA KAZI YAKE,NINI ALIPATA KULE MSIBANI?
LEO ANALALAMIKA NINI?
NDUGU ZANGU LET US BE SERIOUS.