Huyu Pinda has reached the limit of his wisdom. Bado kidogo tu ataanza kulia lia.
kwani toka lini huyu mzee ana busara..yaani hili ni makapi ya ngano kabisa...yaani mungu kamnyima sura na akili kamnyima...pumbavu kabisa anamtisha nani sasa....likibanwa linaanza kulia kama toto...
hahaha. karibuni unguja kutibiwa Mnazi mmoja . huku madaktari sio anasa, ni huruma na upendo. ndio tatizo la kuajiri madaktari walevi. wanafikiria zaidi pesa Bia kuliko huruma ya binaadamu mwenziwe
Sasa madaktari wadhihirisha immaturity tena. Wao wamesema hawawezi kukutana na waziri mkuu siku ya jumapili, lakini wameweza kukutana na waandishi wa habari!
Nadhani kuna madaktari wanapenda mgomo uendelee kwa sababu after all mshahara wao wanaendelea kupata na muda huu wa mgomo wanaendelea kufanya shughuli zao nyingine ikiwemo kwenda kutibia hospitali private...
Mkuu nisikilize vizuri, mwajiri wako anapokuita hata ukiwa kitandani unaamka na kwenda kumwona. Heshima kwanza kwa mwajiri wako hakuna habari za kufanya mgomo halafu unaweka masharti wewe kama umeichukua nchi hostage.
Nimekuwa nafuatilia sana mijadala hapa JF na nimeona waziri mkuu akitoa taarifa hizi mapema tu kiasi kwamba hata majibu yao yalikuja mapema wakitaka kukutana Jumatatu na sio Jumapili mara ukumbi gani.. Juzi Ijumaa wakati wanakutana na kina Nkya, tulipata taarifa hawataki kuzungumza na hawa viongozi, jambo ambalo sikuelewa kwa nini halafu wakamtaka waziri mkuu na mapema tulitaarifiwa waziri mkuu watakutana nao, ubishi ukawa wakutane ukumbi gani. Mvutano mkubwa ukawa kuhusu ukumbi gani wakutane na tumeyasoma hapa JF.. Kwa hiyo unachoongea hapa kusema kweli sielewi kama taarifa zinazowekwa hapa ni za uongo au maana hiyo Ijamaa yenyewe walikuwa wakibishana juu ya ukumbi na usalama wa Waziri mkuu leo iwe hawakujua mapema!
hahaha. karibuni unguja kutibiwa Mnazi mmoja . huku madaktari sio anasa, ni huruma na upendo. ndio tatizo la kuajiri madaktari walevi. wanafikiria zaidi pesa Bia kuliko huruma ya binaadamu mwenziwe
Naungana nanyi kwa asilimia mia moja,Kinachofanyika wanajifanya hawawaelewi,namsikiliza Pinda naona anapoteza uwezo wake wa kupambanua mambo na kuweka vipaumbele. madai yenu yanawezekana nakweli hamhitaji mjadala ,mazingira yenu ni hatarishi sana. Nawaombeni mzidi kuwa kitu kimoja kwani yote mliyoyadai yanawezekana tukilinganisha na fedha inayoibiwa kwa kujua au kutokujua. Ni lazima tufike mahali nchi yetu ithamini wataalamu wake.Madaktari wamekutana na waandishi wa habari muda si mrefu na kutoa kauli ya kukaidi amri ya Waziri Mkuu juu ya wao kurejea makazini kesho. Dr. Stephen Ulimboka, mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari akitoa tamko lao...
naungana nanyi kwa asilimia mia moja,kinachofanyika wanajifanya hawawaelewi,namsikiliza pinda naona anapoteza uwezo wake wa kupambanua mambo na kuweka vipaumbele. Madai yenu yanawezekana nakweli hamhitaji mjadala ,mazingira yenu ni hatarishi sana. Nawaombeni mzidi kuwa kitu kimoja kwani yote mliyoyadai yanawezekana tukilinganisha na fedha inayoibiwa kwa kujua au kutokujua. Ni lazima tufike mahali nchi yetu ithamini wataalamu wake.
Madaktari pambaneni,najua wafanyakazi wa umma wanaangalia upepo unaendaje,mara nyingi watu uwa wanaingia mitaani kwa vitu kama hivi..msikubali kunyanyasika kama watu wa ugenini,vitisho vya nini na hasira zisizo natija?
lkn mama ukianguka kesho ghafla huyoooooo uengereza, sisi hapa tunakufa. Mtoto wako akiugua tu huyooo china na baba . Sisi maskini tutakufa.
pinda kashauriwa vibaya.asije akaingia kwenye list ya kina nyoni....