Micro E coli
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 938
- 192
Lakini mwajiri wao ni serikali wanatakiwa kusikiliza Pinda atakutana nao lini na sio wao wanataka kukutana naye lini. Hao sasa hivi hawana kazi hawana majukumu ya kiserikali wakati Pinda anaendelea na kazi zake hivyo wakati alokuwa nao ni Jumapili na kawaomba wakutane leo. Wao wanachopinga kukutana leo ni nini haswa. kusubiri wengine wanaotoka bara?.. halafu wakifika ndio agenda zitabadilika au?.. Aaaah mimi naona mizinguo mitupu sii hawa madaktari wala serikali maana wanachokiomba hakiwezi patikana leo wala kesho pengine posho peke yake ndio inaweza kukubaliwa mara moja..mkuu kwani barua aliyopewa hakuiona au kiburi kama blandina
Lakini jamani mashindano ya nini?. Pinda kenda kuwaona leo madaktari wameingia kizani wao wanataka wakutane kesho... Hivi kuna tofauti gani kati ya kukutana leo na kesho ikiwa agenda zipo tayari?
hivi waandishi ndio wanaosikiliza madai ya madaktari??Sasa madaktari wadhihirisha immaturity tena. Wao wamesema hawawezi kukutana na waziri mkuu siku ya jumapili, lakini wameweza kukutana na waandishi wa habari!
Nadhani kuna madaktari wanapenda mgomo uendelee kwa sababu after all mshahara wao wanaendelea kupata na muda huu wa mgomo wanaendelea kufanya shughuli zao nyingine ikiwemo kwenda kutibia hospitali private...
sasa mimi dr wa wanyama sijui niwaunge mkono hawa jamaa..........\Orait, kesho siendi kuwatibu wale wadudu wa mzee Macha.
Nagomaaaa.........I am supporting you guys.........100% pamoja.
mkuu waliokutana na press si viongozi.pinda anatakiwa madaktari ambao wengi wao wako safarini kuelekea dar.
Mkuu hizi sio sababu kabisa mbona wamekutana leo wenyewe na kufikia maamuzi ya kutokutana na Pinda ila wamezungumza na waandishi wa habari. Hivi kweli mnafanya mchezo na maisha ya watu kwa kusema Jumapili ni siku ya kupumzika wakati hizo posho hupokea hata ktk vikao vya Jumapili?.. mbona siku zote wanakwenda kazini hadi Jumapili au unasahau hawa ni madaktari?..aaah sababu nyingine jamani mzijenge baada ya kuwauliza madaktari wenyewe kwa nini hawataki kukutana na Pinda.tofauti ipo tena kubwa sana....l
JUMAPILI
1..siku ya mapumziko
2..wenye iman zao wanakwenda kanisana
3..siku ya kutulia na kupanga mipango na kuwatembelea ndugu na jamaa
jumatatu
ni siku ya kazi na kwesho huyo pinda angeweza kuwaona...........pinda amekurupuka...ametumia hasira kisa kaenda akawakuta hawajafika..ni mmoja wa mawaziri wakuu wapuuzi kabisa nchii hii imewahi kuwa nao........
Lakini mwajiri wao ni serikali wanatakiwa kusikiliza Pinda atakutana nao lini na sio wao wanataka kukutana naye lini. Hao sasa hivi hawana kazi hawana majukumu ya kiserikali wakati Pinda anaendelea na kazi zake hivyo wakati alokuwa nao ni Jumapili na kawaomba wakutane leo. Wao wanachopinga kukutana leo ni nini haswa. kusubiri wengine wanaotoka bara?.. halafu wakifika ndio agenda zitabadilika au?.. Aaaah mimi naona mizinguo mitupu sii hawa madaktari wala serikali maana wanachokiomba hakiwezi patikana leo wala kesho pengine posho peke yake ndio inaweza kukubaliwa mara moja..
Wasiporipoti kazini kesho, Hapo ndipo itakapojulikana umuhimu wao. Kama Pinda ni mtoto wa Mkulima basi ajue sisi ni vibarua wa hao wakulima. Ashindwe kabisa nani arudi kwa vitisho?
Bravo Doctors!!! for such a difficult decision.