Madaktari gonjwa hili limekaaje aisee!! Kutembelea mikono!!

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490

Duniani kweli Kuna mengi uishi one....na Mungu naye ana mipango yake kwa kila kiumbe.
 
Kuna watu wataendelea kubisha kuwa "tulikuwa NYANI" pamoja na ushahidi wa wazi kabisa.
 
Mkuu mbona wamesema wazi kua ni Tatizo la kijenetikia, wanakosa uwezo wa kusimama na kutembea vyema “balance”, na tatizo hilo linarithishwa kutoka kwa mzazi kwenda mtoto na ndio maana hilo tatizo linazunguka kwenye familia hiyo tu...
 
Hata mtaani kwetu kulikuwa na dada mmoja Mwenye hilo tatzo. Kuna wakati aliweza kusimama na kutembea lakn kwa kukosa Balance
 
Mkuu mbona wamesema wazi kua ni Tatizo la kijenetikia, wanakosa uwezo wa kusimama na kutembea vyema “balance”, na tatizo hilo linarithishwa kutoka kwa mzazi kwenda mtoto na ndio maana hilo tatizo linazunguka kwenye familia hiyo tu...
Ukioa ktk familia hiyo vipi
 
Yaani hii case nimeishuhudia kwa macho, alikuwa akisimama anakimbia kiupande upande anaenda kudondoka, kuna wakati anasimama anatembea kwa kurudi nyuma
Aiseee wapi huko tunaweza kufanya tafiti zaidi na hata documentary
 
Back
Top Bottom