Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
Madaktari wana haki ya kudai madai yao......lakini kugoma tena,watu wa chini watakuwa wanaumia sana,nafkiri watafute njia nyingine mbadala ya kudai madai yao..
Nilitegemea kuona michango ya watu kuitaka serikali na madaktari wafikie mwafaka lakini cha ajabu michango ya watu wengi hapa wanataka madaktari wagome....sidhani kama nyie kweli mna uchungu na madai ya madaktari kuliko ndugu zenu watakaokufa mahospitalini kama ilivyokuwa katika mgomo wa awali.
akili yako bado haina akili!
Mkuu nchi hii haiendi bila migomo, na ukweli wa hii maneno iko wazi kuanzia vyuoni hadi serikalini. Kimsingi migomo ndiyo suluhu pekee kwa watawala wa nchi hii
Wewe unayeshangilia watu wafe ndiyo unajiona una akili?
sioni njia mbadala zaidi ya mgomo. Ukiona rais anasamehe wezi wa EPA, Richmond/dowans haijui tena anaongea bila aibu, hakika selikali yenye viongozi type hiyo bila migomo hawaendi mkuu!, can you imagine time lapse tangu mgomo usitishwe wameachieve nini? Nafasi ambayo selikali makini ingeitumia effectively kutatua mgogoro huo!Madaktari wana haki ya kudai madai yao......lakini kugoma tena,watu wa chini watakuwa wanaumia sana,nafkiri watafute njia nyingine mbadala ya kudai madai yao..
Hebu jiulize kama kila idara ya serikali watumishi wote wakigoma itakuwaje? unataka kuniambia watumishi wengine siyo muhimu na hana madai isipokuwa madaktari tu? Wasitumie kigezo cha kwamba wakigoma lazima watakufa na hivyo wao kubembelezwa .... wanatuumiza watanzania wenzao bhana!
Mimi kama mgonjwa mtarajiwa natoa baraka zangu kwa mgomo wa madaktari!Panga la shaba, huo ndio ukweli na wanatakiwa kuwa na utu na kutambua kuwa wanaoumia katika migomo yao ni wananchi wa kawaida mama na baba zao wakiwemo.
Nimesikia kwa vyombo vya habari kuwa next wiki madokta huenda wakagoma ati kwa kuwa bado wizara inaongozwa na mawaziri wale wale waliosababisha mgomo wa awali kitu ambacho serikali kupitia kwa PM ilikuwa imeahidi itakishughulikia.
Kuna tetesi nimezipata kuwa Dr Mponda aliandika barua ya kujiuzuru kwa raisi naye JK akamwambia kuwa " wewe bado u mchanga kwenye siasa, huo ni upepo tu utakwisha, chapa kazi achana na mambo ya kujiuzuru".
Kwa maono yangu madokta mkigoma mtakuwa mnawaumiza raia wasio na hatia kwasababu serikali hii chini ya JK haitakaa iwasikilize kwa maana ya kutatua mgogoro huo. Napendekeza mgomo na maandamano yenu yaelekezwe katika kuupinga utawala mzima wa JK na wateule wake vinginevyo mnajilisha upepo, JK will never respond to your cry!!
Nawasilisha
mkuu tafuta hotuba ya jk ya 2008 august, ina majibu ya maswali yako.Rais amesamehe wezi kwani yeye judge? Au mnataka awe anaingilia uhuru wa mahakama?
Ishinikize selikali iwafukuze kazi basi!. "mimi mgonjwa mtarajiwa, nabariki mgomo wa ma dr.,"Hebu jiulize kama kila idara ya serikali watumishi wote wakigoma itakuwaje? unataka kuniambia watumishi wengine siyo muhimu na hana madai isipokuwa madaktari tu? Wasitumie kigezo cha kwamba wakigoma lazima watakufa na hivyo wao kubembelezwa .... wanatuumiza watanzania wenzao bhana!
Tatizo la Tanzania ni kwamba, kupata uongozi ndio mafanikio makubwa ya mtu kufurahia. na si kujivunia umefanya nini kwenye nafasi hiyo uliyofikia. ndio maana viongozi wengi wame relax kwenye vyeo walivyonavyo. hii ndio sababu unaona hakuna hata tatizo moja hapa tanzania limetatuliwa na kuisha kabisa.sioni njia mbadala zaidi ya mgomo. Ukiona rais anasamehe wezi wa EPA, Richmond/dowans haijui tena anaongea bila aibu, hakika selikali yenye viongozi type hiyo bila migomo hawaendi mkuu!, can you imagine time lapse tangu mgomo usitishwe wameachieve nini? Nafasi ambayo selikali makini ingeitumia effectively kutatua mgogoro huo!
Nimesikia kwa vyombo vya habari kuwa next wiki madokta huenda wakagoma ati kwa kuwa bado wizara inaongozwa na mawaziri wale wale waliosababisha mgomo wa awali kitu ambacho serikali kupitia kwa PM ilikuwa imeahidi itakishughulikia.
Kuna tetesi nimezipata kuwa Dr Mponda aliandika barua ya kujiuzuru kwa raisi naye JK akamwambia kuwa " wewe bado u mchanga kwenye siasa, huo ni upepo tu utakwisha, chapa kazi achana na mambo ya kujiuzuru".
Kwa maono yangu madokta mkigoma mtakuwa mnawaumiza raia wasio na hatia kwasababu serikali hii chini ya JK haitakaa iwasikilize kwa maana ya kutatua mgogoro huo. Napendekeza mgomo na maandamano yenu yaelekezwe katika kuupinga utawala mzima wa JK na wateule wake vinginevyo mnajilisha upepo, JK will never respond to your cry!!
Nawasilisha
Try to think broadly and with depth - hivi watu wameanza kufa hospitalini baada ya madaktari kugoma? Wale ambao miaka yote wamekuwa wakikosa basic services na kuishia kufa ni kwa sababu ya mgomo wa madaktari? Mojawapo ya madai yao ni kuboreshwa kwa huduma za wagonjwa na mazingira ya tiba, kudai mambo haya nako ni upuuzi?
Nilitegemea kuona michango ya watu kuitaka serikali na madaktari wafikie mwafaka lakini cha ajabu michango ya watu wengi hapa wanataka madaktari wagome....sidhani kama nyie kweli mna uchungu na madai ya madaktari kuliko ndugu zenu watakaokufa mahospitalini kama ilivyokuwa katika mgomo wa awali.
Sasa ukikuta ajenda hazieleweki ndio utoe lame excuses? Hapo madaktari wamechemsha na wamejidhalilisha. Na wakigoma this time wajue wananchi hawatalaumu serikali.