Gomeni tu madokta hadi kieleweke. Siasa zimezidi sana nchi hii kuliko utaalaam.
tumechoka kufanywa watoto wadogo, na tumechoka kupewa ahadi za uongo kama jk alisema kweli kuwa huo ni upepo tu kwa kweli alikosea sana, madaktari wana hasira sana juu ya jabo hili na hata morali yao ya kazi ipo chini sana. Tusubiri tuoneNimesikia kwa vyombo vya habari kuwa next wiki madokta huenda wakagoma ati kwa kuwa bado wizara inaongozwa na mawaziri wale wale waliosababisha mgomo wa awali kitu ambacho serikali kupitia kwa PM ilikuwa imeahidi itakishughulikia.
Kuna tetesi nimezipata kuwa Dr Mponda aliandika barua ya kujiuzuru kwa raisi naye JK akamwambia kuwa " wewe bado u mchanga kwenye siasa, huo ni upepo tu utakwisha, chapa kazi achana na mambo ya kujiuzuru".
Kwa maono yangu madokta mkigoma mtakuwa mnawaumiza raia wasio na hatia kwasababu serikali hii chini ya JK haitakaa iwasikilize kwa maana ya kutatua mgogoro huo. Napendekeza mgomo na maandamano yenu yaelekezwe katika kuupinga utawala mzima wa JK na wateule wake vinginevyo mnajilisha upepo, JK will never respond to your cry!!
Nawasilisha
Nimesikia kwa vyombo vya habari kuwa next wiki madokta huenda wakagoma ati kwa kuwa bado wizara inaongozwa na mawaziri wale wale waliosababisha mgomo wa awali kitu ambacho serikali kupitia kwa PM ilikuwa imeahidi itakishughulikia.
Kuna tetesi nimezipata kuwa Dr Mponda aliandika barua ya kujiuzuru kwa raisi naye JK akamwambia kuwa " wewe bado u mchanga kwenye siasa, huo ni upepo tu utakwisha, chapa kazi achana na mambo ya kujiuzuru".
Kwa maono yangu madokta mkigoma mtakuwa mnawaumiza raia wasio na hatia kwasababu serikali hii chini ya JK haitakaa iwasikilize kwa maana ya kutatua mgogoro huo. Napendekeza mgomo na maandamano yenu yaelekezwe katika kuupinga utawala mzima wa JK na wateule wake vinginevyo mnajilisha upepo, JK will never respond to your cry!!
Nawasilisha
Gomeni tu madokta hadi kieleweke. Siasa zimezidi sana nchi hii kuliko utaalaam.
Hao madokta nadiriki kuwaita hayawani, nadhani wamerukwa na akili. Wamegoma kujadili kwenye kikao kisa kuna wauguzi , watu wa maabara na wafamasia kwahiyo wao wanajiona ni bora kuliko tAaluma za wenzao. Kama wanampango wa kugoma bora wagome tu lakini wajue wanao suffer ni kina baba kabwela.
Hahaha mimi nitawaita hayawani mara 1000. Na ningependa wapimwe akili kama mrema alivyopimwa KCMC kipindi cha Mkapa. Haiwezekani wewe daktari ukatae kujadili kisa eti madai yao wao SPESHO mi naona ni upuuzi wa hali ya juu. Kwa watu waliobahatika kufuatlia huduma za afya US na Canada utakuta Nurse ni mtu muhimu sana pengine hata kuliko daktari.
Hii ni selfishness of the highest magnitude na hao jamaa naona wana lao jambo na kama wana malengo ya kisiasa bora waseme mapema maana wanao suffer ni wajomba zao na shangazi zao wanaotokea mbwinde.