Madaktari bingwa washindana

harakati83

Member
Aug 5, 2010
61
5
[h=6]Madaktar bingwa nchi 3..China,Ujerumani na Tanzania wanajadili mafanikio ktk nchi zao..China''tulikuwa na kijana hana mkono tukaweka wa kutengeneza sasa nimpiganaji wa karet.''Mjerumani..bado hamjatufikia,,sisi hakuwa na miguu tukaweka bandia anashiriki olympic ana medal 3..Mtz..hamjatukuta..hapo bagamoyo alizaliwa kijana hana kichwa tukaweka nazi sasa ni Raisi...!!!!!!!!!!!!!!!!?[/h]
 
Back
Top Bottom