Madaktari bingwa wa ugonjwa wa Homa ya Mapafu (Pneumonia/Nimonia) wanapatikana wapi jijini Dar es salaam?

Sep 3, 2015
88
136
Habari za humu wanajamii na wakuu wote na madaktari wote mlio humu.

Wakuu naomba kuuliza, wapi wanapatikana madaktari bingwa wa ugonjwa wa Nimonia kwa huko Dar es salaam?

Au hospitali zipi zinahusika na ugonjwa huo tu?? Niko safarini kuja huko na nasumbuliwa na hayo maradhi.

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda Muhimbili onana na specialist wa magonjwa ya koo,mapafu nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom