Megawatt B
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 259
- 69
Hacha uongo leta ushahidi:juggle:
Wewe umekazana lete ushahidi lete ushaidi! akuletee ushahidi gani? nenda muhimbiki ukaone!
Hacha uongo leta ushahidi:juggle:
Lilikuwa linafanya nini huko muda wote huu wakati sherehe zimeshaisha jana??
Lilikuwa linafanya nini huko muda wote huu wakati sherehe zimeshaisha jana??
tutakoma na serikali legelege híii kila siku jambo jipya na hakuna lenye kutatuliwa huko bungeni hali tete miswada ya bunge haipiti.dalili mbaya.
Its tools down. We dont need to attend even emergencies. Sababu tuna serikali yenye kiburi basi tuonane nani aliyeshika mpini nanani aliyeshika makali.
Aluta Continua, solidarity forever
Hivi alivyoamua kuwasamehe wale wezi wa EPA waliorudisha pesa alikuwa anaingilia muhimili gani vile? Acha kutetea upuuzi bana...rais ana mamlaka makubwa na anaweza kushinikiza mambo yanayohusu mustakabali wetu na yakafanyika kwa kasi inayotakiwa ila jamaa yetu huyu amebaki anakenua meno tu kwenye visherehe mbalimbali wakati wananchi maskini wanakufa...! bure kabisa...!Nafikiri Rais hana nafasi tena hapo kwani tayari muhimili mwingine wa Bunge umesha ingilia suala hili. Kamati ya Mama Sitta ndiyo yenye nafasi kumaliza suala hili.
Tuombe heri itawale shari na suluhu ipatikane haraka kwa faida ya wote
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ana uzito wake kuwepo nchini, Mbowe yuko USA badala ya kushughulikia mgomo wa madaktari kwa upande wa upinzani kapanda ndege na kuondoka. Viongozi wa nchi hii ni waajabu sana wanakimbia matatizo.
Jana kashindwa kusema chochote kuhusu madaktari kaongea siasa tu, huyu mtu kweli nchi imemshinda maana kuna vitu vya msingi anaviacha anakusanya watu wasio na viatu kuwalisha wali na nyama kirumba, matokeo yake wamewatelekeza mwanza bila kuwarudisha kwao. Jk nchi imekushinda just say that watu warudi kwenye drawing board
picha zitaingilia usiri wa watu mkuu.kama wewe ni tomaso nenda muhimbili.ukiletewa picha utasema photoshop...sasa mkuu kama ulikuwa SEWAHAJI na ukaona wagonjwa wamelala mlangoni si ungepiga hata picha kupitia simu? si unaelewa tena mimi tomaso bwana ni kama wachina wao husema picha huongea zaidi kuliko maneno
hali ni tete katika hospitali ya taifa muhimbil.hii imekuja baada ya madaktari bingwa kuanza mgomo wao leo mchana kama ishara ya kuishinikiza serikali kushughulikia madai yao na kupinga upotoshaji uliotolewa bungeni na waziri wa afya dr. Mponda.
Nimeongea na surgion mmoja baada ya kikao na akanihakikishia kuwa wamedhamiria kufanya kweli katika hili. Kitu cha kushsngaza hamna chombo cha habari hata vya binafsi vinavyodiriki kutangaza hali ya mgomo. Wodi zote mnh ni nyeupe kwani hamna wagonjwa. Ukiingia sewahaji utakutana na wagonjwa wachache walioumia kutokana na ajali wamelala chini mlangoni unapoingia tu. Hii ni hatari sana kwa nchi yetu.