Madakari Bigwa wa Magonjwa ya Wanawake

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Juzi nilikua naangalia kipindi cha TV.

Docta mmja alikuwa anaelezea jinsi anavyomtanua mgonjwa mwanamke kwa kuwaingizi vifaa maalumu na kupima kama atakuwa na magonjwa /saratani ya shingo ya kizazi au la.

Hawa madaktari eidha watakuwa wanafaidi sana au wanamioyo migumu.

Hii fani ndo ilikuwa ya kusomea aisee(the best job ever). Najuta.
 
KJ wameshazichoka hao wanakutana na za kila aina so hawana cha ajabu.

Hawafaidi chochote mie nilishawahi muuliza dr.... akasema yaani hata mwanamke apite bila nguo hashituki
maana anaziona kila siku
 
Kwa madaktari wenye kufuata maadili wala hawafeel chochote labda kwa wale matapeli.
 
HUWEZI KUAMINI WENGI WA HAO WATaALAMU WA MAGONJWA YA KINA MAMA WANAKUWA HAWEZI (nadhani mmenielewa)
 
Every profession has its ethical code to which each one must abide with; and each profession some people might go against ethics of their work not only me gynos or something...I am a woman and I do not support that every male doc actually choose such profession to enjoy women private parts.....kama ni kubaka wanaobaka mbona wengi tu waalimu, mabosi, etc etc etc ....stop double standards waego...
 
Mh nahic wewe ingekuwa dr ingekuwa balaa. kuna madoc wengine uzalendo unawashinda kama yule wa marie stop aliyembaka mgonjwa
 
Ivi jamani tuache utani.

pata picha anakuja wa kidosho wa ukweli, si mgonjwa, bali amekuja kucheki afya,, ivi kweli hata namba hutaomba?
 
Hii kazi kwa kweli nilikuwa natamani sana kuisomea lakini nilipomwambia mother enzi hizo nataka nile doc na nitaspecialize kwenye magonjwa ya wanawake ilibidi mzazi anipe mistari ya kutosha hadi nikabadili uamuzi. Ila kubwa ni kuwa wengi wao wanaishia kutokuoa kabisa kwa kuwa huwa wanakosa stimu za wanawake kwani karibu kila siku wanachezea yaani kama masikio tu.
 
Madaktari hao wamezoea kazi yao kiasi kwamba nivigumu kumkumbuka mgonjwa wake kwa kukuomuona usoni. Kuna mama alienda kufanyiwa uchunguzi, mama akamsalimia dr kisha akamuuliza unanikumbuka docta? hapana sikukumbuki, alivolala kitandani akavua apimwe dr alivyomuona tu, akasema ooh kumbe mrs flani nakukumbuka sana. Kwa hiyo huwa wanamaanisha wanachofanya.
 
Jamani, mawazo uliyo nayo kichwani ndio tatizo. Kwanini ukiwa na dada ako unaweza kaa naye hata mbeba lakini usihizsi chochote. au anaweza akakukumbatia kabisa lakini usihizsi chochote. ni kwasababu hujaumba bdo kitu akilini. so yupo kazini. au usije fikiria atakuwa mgojwa hata akikutana na mkewe hata shtuka. never.
 
:clap2:Kuona nanihiiiiiiiiiiii tofauti tofauti kwa muda mrefu huwa kunapunguza hamu ya ku-do hata na mkeo! Hivyo unaweza kupoteza ndoa yako kwani mamaaaa atakuwa hapati kitu cha kumtosheleza! Ila yataka moyo sana kuchezea nanihiii bila nanihiii kusimama:A S 20:
 
Back
Top Bottom