rais-muislamu
makamu wa rais......muislam
rais wa zanzibar.......muislam
makamu wa 1..........muislam
makamu wa 2..........muislam.
Igp.........................muslam.
Mkuu tss................muislam.
Jai mkuu.................muislam.
Waislamu mungu awape nini muache kulalamika?
Mimi nashauri uchaguzi wa 2015 nafasi zote za juu ziachwe kwa waislamu ili waridhike kwa sababu wao ndio wa kwanza kuichagua ccm,ccm imekuwa ikiwahadaa miaka na miaka lakini badala ya kuona ni wapi walipokwama wao wanalalamikia ukiristo.
Waislamu kwa sasa wako radhi kuisamehe ccm hata ikiwafanyia baya kiaso gani kisa rais na mwenyekiti wa ccm ni muislamu mwenzetu muislam na ili uwajue ni watu wa namna gani mabaya yote ccm inayowafanyia sasa watakuja kuiadhibu siku raisna mwenyekiti wa ccm ataka[po kuwa mkristo.
E.g Kugawa maeneo ya mazishi kulingana na idadi ya waumini fulani katika eneo fulani? (Kumbuka Waislamu, Wakristo nk huzikana kulingana na imani zao hivyo si rahisi ku-share eneo la makaburi).
Basi subirini mtakuwa mnaulizwa huko mahakamani.Mtoa mada umeongea ukweli maana hata ukienda mahakamani au polisi Lazima utaulizwa DINI yako nani wakati ukichukuliwa maelezo,Y Dini yako? Na Nyumba za Ibada kwa nini zihesabiwe wakati wajengaji wa hizo nyumba ni waumini wenyewe? Au kwa nini nyumba za kuishi nazo zisihesabiwe? Si Bure Kuna jambo.
Ni muda mrefu Waislam wa Tz wanalalamika juu ya manyanyaso wanayofanyiwa na serikali yao. Hili limekuwa likijitokeza katika siasa, elimu afya na hata nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini.
Mwaka huu serikari inatarajia kuendesha zoezi la kuhesabu watu na makazi kwa wote watakaolala nchini usiku wa kuamkia tar 26. Zoezi litadumu kwa muda wa siku saba. Dodoso litahusisha jina la mtu, umri wake, jinsi, elimu nk. Nyumba za Ibada pia zitahesabiwa!
Ni uamuzi mzuri wa serikari yetu kwa lengo la ku-provide huduma kwa raia wake.
Sasa Waislam wanahoji kukosekana kwa kipengele cha Dini katika madodoso hayo ya sensa. Eti wana-JF wenzangu, kuna ubaya gani serikari kujua idadi ya watu na imani zao? Kwani hii si inaweza kusaidia katika kutoa huduma stahili kwa watu kulingana na imani zao? E.g Kugawa maeneo ya mazishi kulingana na idadi ya waumini fulani katika eneo fulani? (Kumbuka Waislamu, Wakristo nk huzikana kulingana na imani zao hivyo si rahisi ku-share eneo la makaburi).
basi subirini mtakuwa mnaulizwa huko mahakamani.
Ushauri kwa wabadirisha mlo mhesabiane wenyewe pamoja na nyumba zeno.
hilo la data za kupika wala halitusumbui sisi,ukweli utabaki kuwa pale pale na kila mtu dhamira yake inamsuta.
Waislamu wajihesabu wao, katika magroup kama ni Washia, washuni, Ismailia. Sisi dini nyingine hatutaki
hawa jamaa hivi wanataka nini zaidi?..........mi nadhani wanataka mgawo wa nchi kwamba waislamu wanapewa dar,tanga,na pwani alafu iliyobaki ni ya wakristo na wapagani na dini nyingine kwani naona hawa watu ni wabinafsi sana...