Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Ikiwa una dini huwezi kukataa ,na iwapo unajiita mkiristo aafu ukakataa basi ukiristo wako ni wakutiliwa shaka.Hivi ikitokea serikali ikiruhusu kiwepo icho kipengere, na sisi wakristu tukikataa kisiwepo serikali itatakiwa ifate lipi? Hawa jamaa sijui wanatakaje kuna waislam nimesoma nao A-Level walikua na mambo haya haya ya udini, wote Zero sasa sijui wanataka wapewe idara gani kwa mwendo wa Zero.