Nimepata notification ya Freeland , nilikuwa mgodini nachimba kidogoLabda Nguruvi3 hakupata notification yako.
Nimepata notification ya Freeland , nilikuwa mgodini nachimba kidogo
nimepata chenga za 'Tanzanite' tugawane kidogo
Swali la Ugomvi: Mnaounga mkono polisi kupiga raia kwa jina la 'amani na utulivu" jibuni hili...
Madikteta wote duniani hufanana
Hatuhamishi magoli, hakuna nafasi sasa tunatumia uwanja wa cricket kucheza baseball
Unapanga magoli tofauti kidogo!
Au wa Rugby kuwa America Football. Hatuahamishi tena! tumefika
Labda umuulize yeye mwenyewe atakupa jibu.Does Mwanakijiji still believe in this?
Vv
Does Mwanakijiji still believe in this?
Vv
kipindi unaandika mambo fikirishi kama hayo nilikua nakuheshimu na kukupenda saana kama mzee mwenye kisima cha busara ila waswahili walisema kua uyaone... nikimtazama ndugu polepole na wewe mzee mwanakijiji naishia kusikitika tu....Of course, kwanini nilichoandika ni ukweli na ukweli huo bado unasimama mbona.
Mimi nasikitika zaidi kuwa wewe unasikitika kwa sababu hauna sababu ya kusikitika. Ungewasikitikia sana wale waliosababisha haya yanayoendelea kwa kuamua kubadili safari angani.kipindi unaandika mambo fikirishi kama hayo nilikua nakuheshimu na kukupenda saana kama mzee mwenye kisima cha busara ila waswahili walisema kua uyaone... nikimtazama ndugu polepole na wewe mzee mwanakijiji naishia kusikitika tu....
Ongeza na Dr. W. Slaa. Hivi hawa watu wamelishwa nini hasa? Angalau Slaa labda kavutwa shati na mkewe. Mwanajijiji je? Of course Polepole kavutwa shati na cheo.kipindi unaandika mambo fikirishi kama hayo nilikua nakuheshimu na kukupenda saana kama mzee mwenye kisima cha busara ila waswahili walisema kua uyaone... nikimtazama ndugu polepole na wewe mzee mwanakijiji naishia kusikitika tu....
Kwa hiyo na wewe ukalipiza kisasi kwa kubadili gia angani na kurejea nyuma? nikiangalia hao waliobadili gia, bado wanaendelea kupambana. ila wewe umerudi nyuma kabisaMimi nasikitika zaidi kuwa wewe unasikitika kwa sababu hauna sababu ya kusikitika. Ungewasikitikia sana wale waliosababisha haya yanayoendelea kwa kuamua kubadili safari angani.
Of course, kwanini nilichoandika ni ukweli na ukweli huo bado unasimama mbona.
Hili niliandika mwezi Machi. Niliandika nikigusia tishio ambalo leo linatokea na watu wengine wanafikiri labda nimeanza kuandika hili leo. Ukirudi nyuma utaona nilianza kuandika hili mwaka 2006 kwa kiasi kikubwa na kulirudia 2008.
Ongeza na Dr. W. Slaa. Hivi hawa watu wamelishwa nini hasa? Angalau Slaa labda kavutwa shati na mkewe. Mwanajijiji je? Of course Polepole kavutwa shati na cheo.
CCM wajanja waliuza hiyo gia kummaliza Edo.MM angalau bado anajenga hoja kwa anachokisimamia. Ninashangazwa na hawa ambao wamemfanya role model waliyemwita fisadi mkuu nchi hii. Hakuna falsafa wanayosimamia zaidi ya kutafuta matukio na kudhalilisha wanaopishana nao mawazo. Zimebaki siku 2 jua kupakatwa na mwezi