Madai ya madaktari

Madai ya madaktari

GIUSEPE

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
209
Reaction score
80
Doctors-Strike_o_109258.jpg

Nimejaribu kusoma kwa umakini mkubwa,nimeshindwa kuwaelewa.Naombeni msaada anayeelewa.
 
Wanadai huduma bora za kiafya kwa kila mtanzania. Si kwa viongozi tu wenye uwezo wa kutibiwa nje.
 
attachment.php

i need a translator GIUSEPE

Hapo tafsiri yake ni kama ifuatavyo: Tunapinga matatizo ya kiafya yanayosababishwa na Ufisadisiasis na uzembesiasis na kwasababu wanasiasa wanajikinga na maradhi hayo kwa kutumia Apolloquine. basi tunashauri watz wapewe dozi maboreshoxazole hosipitalini na madocta waongezewe mshaharacetamol
 
Tehe tehe teheee.
 
Siku yangu imeanza vizuri
 
Haya ni madai ya msingi kabisa.. Teh! Teh!
 
Ndiyo maana serikali imeshindwa kutatua matatizo ya doctors: wanatumia lugha ngumu!
 
Back
Top Bottom