Madai: Robot Sophia anataka awe na familia yake na ajira kama binadamu

Mkuu sijuwi niseme umekurupuka au umesoma jujuu?
Utanisamehe kama kalui hii nimekukosea kwa namna moja au nyingine.
The robot does more than that, unaweza kurudia kusoma na kutafuta taarifa zaidi za robot Sophia, naamini kuna kitu utajifunza.
Kwani Computer na Human being nani zaidi? Kompyuta inaweza zidi mwanadamu uwezo??
 
Mkuu naomba nikuulize swali moja la mwisho
Naomba ulijibu kwa upeo wako wa mwisho wa kufikiri

Unaaini ni kweli Sophia ametumia intelligence kusema anataka nayeye kuishi kama watu wengine kwa kupata ajira na kuwa na familia?

Yaani limechakata na kubaini linaishi maisha lisiyo yataka na sasa linataka kuishi kama sisi kwasababu linatuona tunavyoishi hivyo limejifunza na kubaini hayo ndio maisha linayo yataka?
First of all, for the sake of earnest and intelligent discourse let's know the context of Sophia's views, She didn't wake-up and start to express her foresight and views regarding robots and humans future.
She was just answering certain questions during her interview with The Khaleej Times at the Knowledge Summit.

So to answer your question, Yes, but she did it in response to what she was asked.
You may want to see what was the original question from the journo so that you can make your judgement unbiased.
Video: Video: Sophia the robot wants to start a family
 
The current artificial intelligence (AI) is not even near to where it was intended to be (to the level of human intelligence) instead it is a sort of automated computer programs that makes the system autonomous.

1000's Python or C if..else statements are enough to make any system behave autonomous. If you hear this, take this, answer this...etc.

They are scripted by engineers, hamna kitu hapo, it's programming on chip/processor trick

Ubongo Vs Processor ??

1. Ubongo wetu una kama neurones billion100 , tech ya processor mpaka sasa zinauwezo kubeba hadi billions 100 za transistors
2. Transistor moja ina miguu 3, neurone moja ina point hata 10,000
3. Ubongo Una synapses/info signaling trillion 100, complex ya neurones wiring katika ubongo inasafirisha hizi synapses in short time, itahitaji transistors zaidi ya quadrillions kurusha hizo signal

______
Neurone moja inafanya wiring 10, 000 na kusafiriaha info's trillion 100
Transistor moja inafanya terminal wiring 3, kusafiriaha signal 1 at a time that means roughly more of 3,300 of transistors as one neurone?? and 330 trillions of transistors in a single chip/CPU???

Unataka kusema nini??

Software intelligent maneuvebillity is limited to the processing capability of the hardware,

Ati nini?

View attachment 1324326
Hili sio jengo, ni K computer, project iliyofanywa na IBM 2013, ambayo inaweza kusimulate 1% ya ubongo wa mtu, inaenda na speed ya 1/2400th speed

Artificial intelligence frameworks are just man made backbone softwares that follows certain pattern like Machine learning, ANNs, GAs, Fuzzy logics, there's no intelligence there

Robot Sophia anakua scripted cha kuongea au kujibu endapo akiulizwa kitu...she has alot of hard disk storage with some stored conversation software programs.
Leo ni week end, agiza bia asubuhi hii na bill lete kwangu.
 
Mkuu naomba nikuulize swali moja la mwisho
Naomba ulijibu kwa upeo wako wa mwisho wa kufikiri

Unaaini ni kweli Sophia ametumia intelligence kusema anataka nayeye kuishi kama watu wengine kwa kupata ajira na kuwa na familia?

Yaani limechakata na kubaini linaishi maisha lisiyo yataka na sasa linataka kuishi kama sisi kwasababu linatuona tunavyoishi hivyo limejifunza na kubaini hayo ndio maisha linayo yataka?
Kwa kuongezea majibu yote niliyokwisha kutoa huko mwanzo.
Unapojadili au kufikiri kuhusu mada hii ondoa kuwaza zaidi roboti au AI project flani maalum bali waza kwa ujumla wake.
Huyu Sophia ni mmoja tu ya miradi mingi ya AI ambayo mingine imekuwa advanced sana kwenye deep learning.

Huyu Sophia hata bado hajakamilika kwa mujibu wa maker wake.
 
First of all, for the sake of earnest and intelligent discourse let's know the context of Sophia's views, She didn't wake-up and start to express her foresight and views regarding robots and humans future.
She was just answering certain questions during her interview with The Khaleej Times at the Knowledge Summit.

So to answer your question, Yes, but she did it in response to what she was asked.
You may want to see what was the original question from the journo so that you can make your judgement unbiased.
Video: Video: Sophia the robot wants to start a family

Kwa kuongezea majibu yote niliyokwisha kutoa huko mwanzo.
Unapojadili au kufikiri kuhusu mada hii ondoa kuwaza zaidi roboti au AI project flani maalum bali waza kwa ujumla wake.
Huyu Sophia ni mmoja tu ya miradi mingi ya AI ambayo mingine imekuwa advanced sana kwenye deep learning.

Huyu Sophia hata bado hajakamilika kwa mujibu wa maker wake.
Yes, but.......
Bado hujajibu swali langu

Unaamini Sophia ametumia the same mechanism kutamani kuishi kama sisi kama mimi au wewe unavyoweza kutamani kuwa na maisha kama ya fulani?
 
Nakumbuka Mwalim wangu wa ICT O level aliniambia Human Beings are the Bests compared to Computers
Well, he is right in his own rights.
But I can tell you otherwise, and that is, human brain is faster than computer in decision making because we human make decisions using heuristic methods. But this does not guarantee the right decision as you call it 'Best'.

A heuristic is a mental shortcut that allows people to solve problems and make judgments quickly and efficiently. This shorten decision making time and allow people to function without constantly stopping to think about their next course of action. Heuristics are helpful in many situations, but they can also lead to cognitive biases. [ see Source by Kendra Cherry of www.verywellmind.com ]

The key word there is 'BIAS'!

Most of the time a human being is bias because of the emotions, he will be affected by past experiences from what he has seen or heard so many times in the past, which is different from computer algorithms though they may be of biased mathematical models. It's hard to find a computer program which is biased like humans, stereotype and prejudiced.

Kwa mfano wewe ni mmasai, myakyusa, mchagga, au msukuma ambae ulipokuwa unakuwa umeambiwa wahaya, wangoni na wapare ni malaya, na makabila ya pwani yetu ni wavivu.
Kisha wewe ungepewa kazi na waingereza ya kutoa visa za watanzania kwenda UK, lakini ukapewa shariti usiwape visa watu ambao asili yao ni wamalaya au wavivu. Narudia hapo 'watu ambao asili yao ni malaya au wavivu' sio 'asili ya kabila yao ni malaya na wavivu'.
Basi kwa akili ya kibinadamu kutokana na historia uliyosikia na mitazamo tu ya ndugu na rafiki utanzaa kujipunguzia kazi ya kutumia jitihada kubwa kwa kila mtu anaye omba visa bali utaelekeza nguvu na umakini zaidi kuwachunguza waombaji wa toka makabila niliyotaja hapo juu yenye kutuhumiwa hizo sifa.

Na kwa hakika utaona kweli una wapata wengi toka makabila hayo, sababu ndio umejipa muda zaidi kuwafuatilia hao. lakini kama usingekuwa na uvivu wa kibinadamu wa kujaribu kutafuta njia ya mkato ungelimchunguza kila mtu kwa umakini bila kujali kabila na pengine ungekuta makabila mengine yangetoa watu wenye sifa hizo wengi kuliko wahisiwa.

Na wengine hapo wa maqkabila mengine ungewanyima visa sababu tu ya muonekano wao hauja upenda, wanaonekana wajuaji sana, au wanajifanya wasomi kuliko wewe, wana kipato kikubwa kuliko ndugu zako vile unawaonea wivu, au walikunyima kitu flani au mligombea jambo flani lisilo husiana na kazi yako au vigezo vya kuwanyima visa.

Mfano mwingine ni rahisi polisi wa Kibiti au Stakishari kumshambulia mtu alie vaa kazu, jacket, na kafuga ndevu ambae anawajia kwa mbele kwa kasi huku mkono mmoja kaficha kwenye nguo kuliko mtu ambae ameshika msalaba hana ndevu, hajavaa suruali ndefu inayo mruka(kipedo) lakini kavaa kanzu yenye msalaba.
Polisi watafanya mahamuzi hayo sababu ya past experience ambayo imejenga emotion flani ambayo ni biased, ni stereotype, na prejudice kwa watu wa dini flani sababu namna media kubwa duniani zinavyo tangaza sana matukio yanayo fanywa na baadhi ya watu hao, huku hawaweki sana matukio kama hayo yanayo fanywa Norway au Sweden, au UK au vikundi vya white supremacy kama KK vya Marekani. Huwa hawaongelei sana matukio.

Na ndivyo inavyo tokea mara nyingi watu weusi kuuwawa na askari polisi waupe huko marekani, au mtu mweusi anavyo fanyiwa sana upekuzi Ulaya kuliko mtu mweupe. Ni bias decisions lakini sio watu weusi wote wahalifu na wakorofi kihivyo.

Mfano mwingine ilitokea Marekani kulikuwa na afisa flani wa polisi aliagiza watu wenye asili ya Ulaya na Asia wengi wasichufatiliwe sana na wala wasifunguliwe mashitaka na kuwekwa rumande kama wakiruka vizingiti vya mageti ya kulipia usafiri wa treni na akaagiza askari wahakikishe wana waangalia zaidi watu weusi na walatino na ikitokea wameruka lazima wawafungulie mashitaka na kuwaweka ndani.
Lakini kama hapo ingetegemewa system ya computer kama AI itumie kamera tu, basi wote bila kujali race wangefunguliwa mashitaka na takwimu zingekuwa tofauti ya sasa wanapotegemea binadamu. Hapa utaona computer ni bora kuliko binadamu.

Sijui kama unanielewa ninacho kisema?
Things would have been different if an AI system would have been given the same job.

CC: Chenchele Mayu ROBERTO 20 mgodi kali linux Kuchwizzy
 
Yes, but.......
Bado hujajibu swali langu

Unaamini Sophia ametumia the same mechanism kutamani kuishi kama sisi kama mimi au wewe unavyoweza kutamani kuwa na maisha kama ya fulani?
Unamaanisha nini unaposema same mechanism wakati unajua wao ni machine na sisi ni binaadamu ambapo method tunazotumia zina fanana kiasi flani lakini sio sawa?
Cha msingi hapo outcome/result ya hizo njia ni sawa?
Did she make her decision intelligently when arriving to that conclusion?
Does we (humans) make the same decision intelligently?
I suppose every answer to these questions is right or wrong in different perspectives, It's relative to something.
 
Well, he is right in his own rights.
But I can tell you otherwise, and that is, human brain is faster than computer in decision making because we human make decisions using heuristic methods. But this does not guarantee the right decision as you call it 'Best'.

A heuristic is a mental shortcut that allows people to solve problems and make judgments quickly and efficiently. This shorten decision making time and allow people to function without constantly stopping to think about their next course of action. Heuristics are helpful in many situations, but they can also lead to cognitive biases. [ see Source by Kendra Cherry of www.verywellmind.com ]

The key word there is 'BIAS'!

Most of the time a human being is bias because of the emotions, he will be affected by past experiences from what he has seen or heard so many times in the past, which is different from computer algorithms though they may be of biased mathematical models. It's hard to find a computer program which is biased like humans, stereotype and prejudiced.

Kwa mfano wewe ni mmasai, myakyusa, mchagga, au msukuma ambae ulipokuwa unakuwa umeambiwa wahaya, wangoni na wapare ni malaya, na makabila ya pwani yetu ni wavivu.
Kisha wewe ungepewa kazi na waingereza ya kutoa visa za watanzania kwenda UK, lakini ukapewa shariti usiwape visa watu ambao asili yao ni wamalaya au wavivu. Narudia hapo 'watu ambao asili yao ni malaya au wavivu' sio 'asili ya kabila yao ni malaya na wavivu'.
Basi kwa akili ya kibinadamu kutokana na historia uliyosikia na mitazamo tu ya ndugu na rafiki utanzaa kujipunguzia kazi ya kutumia jitihada kubwa kwa kila mtu anaye omba visa bali utaelekeza nguvu na umakini zaidi kuwachunguza waombaji wa toka makabila niliyotaja hapo juu yenye kutuhumiwa hizo sifa.

Na kwa hakika utaona kweli una wapata wengi toka makabila hayo, sababu ndio umejipa muda zaidi kuwafuatilia hao. lakini kama usingekuwa na uvivu wa kibinadamu wa kujaribu kutafuta njia ya mkato ungelimchunguza kila mtu kwa umakini bila kujali kabila na pengine ungekuta makabila mengine yangetoa watu wenye sifa hizo wengi kuliko wahisiwa.

Na wengine hapo wa maqkabila mengine ungewanyima visa sababu tu ya muonekano wao hauja upenda, wanaonekana wajuaji sana, au wanajifanya wasomi kuliko wewe, wana kipato kikubwa kuliko ndugu zako vile unawaonea wivu, au walikunyima kitu flani au mligombea jambo flani lisilo husiana na kazi yako au vigezo vya kuwanyima visa.

Mfano mwingine ni rahisi polisi wa Kibiti au Stakishari kumshambulia mtu alie vaa kazu, jacket, na kafuga ndevu ambae anawajia kwa mbele kwa kasi huku mkono mmoja kaficha kwenye nguo kuliko mtu ambae ameshika msalaba hana ndevu, hajavaa suruali ndefu inayo mruka(kipedo) lakini kavaa kanzu yenye msalaba.
Polisi watafanya mahamuzi hayo sababu ya past experience ambayo imejenga emotion flani ambayo ni biased, ni stereotype, na prejudice kwa watu wa dini flani sababu namna media kubwa duniani zinavyo tangaza sana matukio yanayo fanywa na baadhi ya watu hao, huku hawaweki sana matukio kama hayo yanayo fanywa Norway au Sweden, au UK au vikundi vya white supremacy kama KK vya Marekani. Huwa hawaongelei sana matukio.

Na ndivyo inavyo tokea mara nyingi watu weusi kuuwawa na askari polisi waupe huko marekani, au mtu mweusi anavyo fanyiwa sana upekuzi Ulaya kuliko mtu mweupe. Ni bias decisions lakini sio watu weusi wote wahalifu na wakorofi kihivyo.

Mfano mwingine ilitokea Marekani kulikuwa na afisa flani wa polisi aliagiza watu wenye asili ya Ulaya na Asia wengi wasichufatiliwe sana na wala wasifunguliwe mashitaka na kuwekwa rumande kama wakiruka vizingiti vya mageti ya kulipia usafiri wa treni na akaagiza askari wahakikishe wana waangalia zaidi watu weusi na walatino na ikitokea wameruka lazima wawafungulie mashitaka na kuwaweka ndani.
Lakini kama hapo ingetegemewa system ya computer kama AI itumie kamera tu, basi wote bila kujali race wangefunguliwa mashitaka na takwimu zingekuwa tofauti ya sasa wanapotegemea binadamu. Hapa utaona computer ni bora kuliko binadamu.

Sijui kama unanielewa ninacho kisema?
Things would have been different if an AI system would have been given the same job.

CC: Chenchele Mayu ROBERTO 20 mgodi kali linux Kuchwizzy
ila mkuu to cut story short human beings ni better kwani hata hayo marobot yametengenezwa na sisi over...(ni part ya akili ya mwanadamu iyo)

Ni kama Mungu alivyo umba mwanadamu kwa mfano wako uo kuna vitu unaweza ongelea kwa Upande wa Mungu na Viumbe wake (Sisi binadamu) ila ukisema utaambiwa ni Kufuru..
 
Hivi aliwekewa na papuchi huyu?,,km anayo itakua tamu balaa,itakua na viwango vya kimataifa yan full majoto +tight laana+kufinya kwa ndani+mautelezi,,yaani ni LA kuoa kabisa hili dubwasha km linae qumer aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uyo ndo mtam 6 kwa 6, unapiga mashine hachoki wala nini, wala hakuna harufu ya vitumbua
 
Back
Top Bottom