Hawaki
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 757
- 1,054
Uzuzu katika ubora wake. Kwa sera zipi zinazoeleweka hadi mtu ukubali kuingiza mamilioni yako kwenye kilimo cha nchi hii? Waulize waliolima mbaazi na mahindi.Moja kasoro kubwa inayotumaliza Watanzania ni hii tabia ya wanasiasa kutudumuza kuwa kila kitu kifanywe ni (mwingine) na sio sisi wenyewe. Zitto is simply full of hot air. Yeye amefanya nini, amelima hata nusu eka ya mchikichiki? Anataka watu wa Kigoma WALETEWE WACHINA, WAARABAB, WAMERAKANI ETC kulima michikichiki? Kwanini asihamasiche watu wa Kigoma wakalima?