Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
No Hijabu.
Nafikiri kaomba msamaha yeye.
Kwahiyo nitafute marinda au?
Ohh. . . Kumbe.
No Hijabu.
Nafikiri kaomba msamaha yeye.
Mie ndio naomba unisamehe dada.
Basi tu wivu unamsumbua Kurwa. . . siunajua tena watu walivyo. Wakikosa wao basi na wewe ukose, hiyo ndio starehe yao.
Unapotaka mtu abadilike unamtaka kwa vigezo vipi? Umesikia kwamba shuguli zake hazifanyiki? Au basi tu mazoea ya mtu hawezi kufanya jambo moja at once?
Japo sina haja ya kujitetea kwako naomba tu nikupe picha kidogo ya namna nnavyofanya mambo yangu kwasababu mimi ni mmoja wa watu wanaoonekana muda mwingi pale nnapoamua kufanya hivyo.
Muda wa kunywa chai asubuhi naperuzi JF, nikiwa nafanya kazi zangu shuleni nachangia mada katikati kama ambavyo naweza kujibu text, nikiwa kwenye simu mikono inatype, wakati mwingine hata nikiwa njiani/dukani nakuwa online kama ambavyo naweza kujibu text, nikiwa naandika mambo yangu naweza nikawepo JF pia, jioni nikiwa napika ule muda wa kusubiria hiki kiungue, kile kichemke naweza nikaandika kitu JF, nikiwa nimepumzika na tv naweza nikawa online kwa wakati huo huo, nikiwa nasoma/fanya kazi zangu za shule naweza nikawa active JF, nikiwa navuta usingizi naweza nikaingia JF, nikishtuka usiku naweza nikaingia JF kama ambavyo hua naishia kuangalia TV kabla ya kurudi kulala.
So far sioni uwepo wangu wa JF unanipunguzia nini, napika, nakula,naoga,naenda shule na nnafanya kazi zangu, natimiza majukumu yangu mengine ambayo ni binafsi kidogo, nafua, nafanya usafi, nalala, napumzika, naongea na ndugu/marafiki zangu/waliopo karibu naonana nao n.k
Sasa niambie UNATAKA nibadilike kwa faida ya nani?
DuhhhhhKama haihesabiki, mie ninayefanya outdoor si ndio balaa kabisa?
Spidi neckname yangu ..
Auchi Doto bana ..
Duhh tayari saa saba usiku ..
Halafu guess what tutaonana Jpili basi
Naenda kule mahali kesho
Lakini wewe huna mume!
Haya hapo chini
Wababa hao wamezamia kwenye soccer
Kuna ubaya gani kina mama wakiingia
JF ?
Umejuaje?
Lakini wewe huna mume!
We nawe kila siku waenda enda. . . huyo mumeo unamwachia nani?
Michelle ataondoka JF pale itakapobidi na si vinginevyo. Kama nakukera .Nipotezeee manziiiiiiiiii!!
Kwa sababu wiki ilopita ulifunguka kwa Gentleman kule chit-chat.
Getleman ameshafanya kweli, hatuna muda wa kupoteza.