Madada Wenzangu wa JF Vipi?

Sasa dada mbona unaaga tena. Subiri nikuulize swali moja.... Hawa wanaokesha JF kuna hata mmoja aliyekuja kuomba chumvi au kuazima andawea yako? Wengine wameajiriwa na JF, ebo!
 
mimi sina mume ila ni ratiba ndo inanipa muda 'GOLDEN CHANCE NEVER COME TWICE'mhudumie mumeo ukimuiga tembo utapasuka msamba
 
Samahani babu ulisha nisaliti baada ya jogoo
Kuwika mara tatu .. ngoja nitafute mwingine wa kunikagua sahau ugoro na maziwa
Nnayo kuleteaga ..

Kutoka kwa mjukuu wako mwenye uchungu wa moyo upandee wa juu ..
Sikuwahi kuwaza kupigwa kibuti hata na mitetea ya kuku.... Leo nimepigwa kibuti na kajukuu nlikokazalia mamaye.... Lizzy popote pale ulipo, nletee ile sumu yangu tafazali.
 
Sasa dada mbona unaaga tena. Subiri nikuulize swali moja.... Hawa wanaokesha JF kuna hata mmoja aliyekuja kuomba chumvi au kuazima andawea yako? Wengine wameajiriwa na JF, ebo!
Babu watu wengine wanawashwa hata na pilipili wasizojua ladha yake.
 
Kwanza karibu sana JF. Nimeona umejiunga jana. Sheria za JF umezipitia? Umezielewa vizuri? If so, unaweza unakabonyeza kifute cha "REPORT ABUSE" na kuwaripoti kwa Mods wale wote wanaokaa JF 24 hours kama unaona ni kinyume na sheria za JF. Wewe kila ukiamka unakuja kusoma habari JF, unafikiri kama wote wangelala ungekuja kusoma nini hapa?

Kwa hiyo ukianzisha thread yako, wachangie tuu machana lakini sio usiku wa manane kwa sababu watakuwa wanaenda kinyume na fikra zako? Au basi na wewe pitia na changia tuu zile threads zinazoanzishwa mchana tuu kama za usiku wa manane ziko kimyume na fikra.

Mpaka sasa bado sijaua kinachokuwasha. Unadai aliyeleta hii thread kasema ukweli. If so kwa nini ameomba msamaha?
 
Sikuwahi kuwaza kupigwa kibuti hata na mitetea ya kuku.... Leo nimepigwa kibuti na kajukuu nlikokazalia mamaye.... Lizzy popote pale ulipo, nletee ile sumu yangu tafazali.
Sasa hivi una shida ndio unanikumbuka? Nakiletea gongo ikukaange maini.
 
Kongosho popote pale ulipo.... Come this way...
 
Babu watu wengine wanawashwa hata na pilipili wasizojua ladha yake.
Hahah tena wakiwashwa kwenye masaburi yao wanakuwa wakali asee. Wanaweza pasua skriin zao kwa kubishana na Lizzy wa JF. Btw leo inaelekea una mshiko wa haja. Muda wote huu bado uko cafe unasurf lol
 
Hahah kiongozi mdogomdogo.... Kuna watu fikra zao zinawatuma kuwa usiku ni muda wa kungonoka tu lol
 
mimi sina mume ila ni ratiba ndo inanipa muda 'GOLDEN CHANCE NEVER COME TWICE'mhudumie mumeo ukimuiga tembo utapasuka msamba

Thenki yuu vere vere!! Ratiba sio uniform inayotulazimu wote tuwe sare sare!! Kashindwa akae kando, asubiri kusoma post za watu zimetumwa saa ngapi!! Lol
 
Hahah tena wakiwashwa kwenye masaburi yao wanakuwa wakali asee. Wanaweza pasua skriin zao kwa kubishana na Lizzy wa JF. Btw leo inaelekea una mshiko wa haja. Muda wote huu bado uko cafe unasurf lol
Hahahah. . . Babu ukitembezewa ban mi simo.

Hehehehe. . . kuna mtu alinipa ofa ya mwaka mpya.
 
Hahah kiongozi mdogomdogo.... Kuna watu fikra zao zinawatuma kuwa usiku ni muda wa kungonoka tu lol

Bado hajakutuana na akina Faiza Foxy. Ndio maana Afrodenzi kauliza

Nauliza tu ..
ukifanya mchana , asubuhi , au jioni haihesabiki? Lazima iwe usiku wa manane
Kwenye giza tororo na na blanket kwa juu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…