Madada wa mjini full usanii

Madada wa mjini full usanii

Ni ajabu hiyo ya kwako mkuu, wanasema mara nyingi akili ya wanawake hukomaa mapema, labda ni shinikizo la mashost zake.
Kwakuwa ndugu zake siwafahamu....utasikia nmefiwa na mtu wa karibu sana..hapo bili inajisomea karibu laki 3. Kuna wadada wengne wamelaaniwa nahisi.
 
Back
Top Bottom