MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,772
- 71,838
Daah inasikitisha sana.
Daah inasikitisha sana.
Aiseeeh,......!Miaka ya nyuma sana ilifanyika get together ya JF Dar wadada waliomo huku walijitokeza 100% wamevaa majeans mapana na mat-shirt makubwa design ya tom boys
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes...ilifanikiwa tulikula bata kinoma.Hivi Get together ya mwaka jana December pale Namanga ilifanikiwa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu wabishi sanaDaah inasikitisha sana.
Kweli, watu wa siku hizi ni wabishi sana.Tatizo watu wabishi sana
Cc Hance MtanashatiYes...ilifanikiwa tulikula bata kinoma.
Good sana kaka.Yes...ilifanikiwa tulikula bata kinoma.
Nipo ila kimya kimya aseeh.
Ila huwa nakuona mwenyewe unayasema haya. Inamaana baadae ulimpiga marufuku kuingia humu au aliamua kuepuka vishawishi!Wangu ni zao kuu la jf, habadilishi nywele, anabadilisha vipi nywele wakati amepewa original bwana!
Nawezaje kumpiga marufuku mtu mzima kiongozi, yupo huru japo wanawake wapo tofauti na sisi mkuu. Sio wote wenye ujasiri wa kusema niliopoa mtu mtandaoni...Ila huwa nakuona mwenyewe unayasema haya. Inamaana baadae ulimpiga marufuku kuingia humu au aliamua kuepuka vishawishi!
Nawezaje kumpiga marufuku mtu mzima kiongozi, yupo huru japo wanawake wapo tofauti na sisi mkuu. Sio wote wenye ujasiri wa kusema niliopoa mtu mtandaoni...
Ila niseme tu, hana hobby na mitandao, while i'm addicted!!
Hahaahahahahah jamani daudi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miaka ya nyuma sana ilifanyika get together ya JF Dar wadada waliomo huku walijitokeza 100% wamevaa majeans mapana na mat-shirt makubwa design ya tom boys
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana wakati wengine hatukuwepo jamanii daudi huyuuWatu mna maneno saana.
Cc Viol
AiseeMiaka ya nyuma sana ilifanyika get together ya JF Dar wadada waliomo huku walijitokeza 100% wamevaa majeans mapana na mat-shirt makubwa design ya tom boys
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anaongopa hadharani kabisa.