Madada wa Jf ni madada flani hivi wako Classic

Madada wa Jf ni madada flani hivi wako Classic

Vingi vya uongo hapo, wengine tunaishi kiuhalisia khs.
Ugali maharage tunafukia.
Ugali mlenda sawa tu, hatusuki. Tumeridhika na nywele zetu fupi.
Nokia za tochi ndio simu zetu.
Nikipata pepsi au fanta naridhika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom