Madada wa Jf ni madada flani hivi wako Classic

Madada wa Jf ni madada flani hivi wako Classic

Thubutu kuna vitu hapo sina kabisaaaaaaa cha kwanza iPhone....cha pili savanna na wine sinywi ...kwa mamantilie nakula....maharagwe na mlenda twendeee nywele zangu ni twende kilioni nasuka kila baada ya siku tatu kitambi cha kishkaji ninacho....bwanangu sio handsome....vingine ninavyo[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa
 
kuna kabinti humu nadate nae na sina hela hapo Zero IQ umenisingizia... [emoji3]

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Katoto kazuri ni mwanafunzi single not ready to mingle kula kwa kawaida tu simu sasa lazima iwe nzuri kwa sababu weww ni demu .
Maisha ya wastani mtu naishi tu.
Ila maisha ya juu napenda sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wambie ivi, Uumbaji haukukosea kumuwekea mwanadam nywele za Sirin yaan mavuzi.

Nakama watahitaj sababu ya kisayansi, yakwann hutakiwi kunyoa mavuzi kipara kila mara... Waambie watazame ilo eneo linaloota mavuzi liko nahali gani...au waulize nikwann haiwapasi ivo.
Vipi kuhusu za kwapani na kichwani, na zenyewe hunyoi?

- KANA -
 
Back
Top Bottom