Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,716
- 5,972
Mungu awasaidie kwa kweli.
Ni sahihi. Jamaa huwa anatoa likes tu.Huwa ni nadra sana wewe kucomment zaidi tumezoea unavyo tupa likes zako
😊😊😊Ni sahihi. Jamaa huwa anatoa likes tu.
Gharama za kumiliki mwanamke wa mtaani ni kubwa sana ndio mana biashara hiyo imekuwa kwa kasi kubwa
Tena na hizi sikukuu zinazokuja za mwisho na mwanzo wa mwaka wenye kumiliki wanawake lukuki wa pembeni wajiandae bili za mavazi, vyakula, mawigi, vipodozi, salon, kodi na nauli zao wakitaka kusafiri kwenda kula sikukuu mikoani kwao. Pia ili kuepuka bill hizo hiki siyo kipindi kizuri cha kutongoza mwanamke wa kumfanya hawala.Gharama za kumiliki mwanamke wa mtaani ni kubwa sana ndio mana biashara hiyo imekuwa kwa kasi kubwa
Hatari wapi wewe...hao ndio wanatusaidia sie madomo zege kujua mbususu inafananaje. Nyie zenu sii mnatunyimaHatari sana.
Sawa,wewe tena uwe domo zege!!?Hatari wapi wewe...hao ndio wanatusaidia sie madomo zege kujua mbususu inafananaje. Nyie zenu sii mnatunyima
So sadWatu wamekosa kinyaa
Problem sio wanaume kuzaliwa problem ni wanaume kushindwa kupata genuine relationship hapa dar. Unakuta mdada anataka ukidate nae umlipie Kodi umeme maji nguo kucha nywele nauli za bolt mitoko yenu na yake yote etc hapo umetumia Kama million kwa mwezi ukicheki Kijana kazi yake simple hata laki mbili kwa mwezi hapati...why asijipooze riverside kwa 10k hata mara moja kwa wiki ..Tena huko hawakutani na viuno vigumu Kama Hawa kausha damuuhitaji, wahitaji =Wanaume wanazaliwa kila kukicha tena vinakuja na nguvu za kudai uchi mapema hiyo biashara haifi leo wala kesho.
Usilie lie sasa!.Baadae anatokea mwanaume mmoja anaoa kabisa huyo dada anayekuambia kwa siku biashara ikiwa nzur anapata hadi vichwa 30, Kisha binti atalalamika mumewe hamkojozi!! Hatar sana.
#wanaume tumeumbwa mateso.
Ningekuwa sio domo zege mbona siku ile tulivyokutana pale tegeta kibaoni ningekutongoza.Sawa,wewe tena uwe domo zege!!?
, sikuweziNingekuwa sio domo zege mbona siku ile tulivyokutana pale tegeta kibaoni ningekutongoza.
Mie domo zege kweli kweli kwanza nawashukuru waliokuja na badoo tinder
Wewe bwana toka majuzi unasema utatuma hutumi ndio maana tunaenda riverside kukwepa haya mambo ya kuliwa nauli, sikuwezi
Nakutumia namba ya wakala
Mambo yasiwe mengi.
Kwa upande mwingine huwa tunasema hivi tukiwa na dhamira ya kupenda iendelee ila jiulize jambo moja kuna makahaba wangapi, na je hawa wanafanya hii kitu kwasababu ilikuwapo tangia enzi za Yesu au kwasababu kuna shida katika jamii yetu inayopelekea wanawake kuendesha maisha nje ya mfumo wa mahusiano rasmi ya ndoa?
Me nadhani kama jamii kuna sehemu tunazingua ndio maana tunapata hii breed ya wanawake ambao wanaona ni rahisi kuishi kwa kutangatanga na kutumika kingono kuliko kutulia katika kaya yake na kuwa chini ya mwanaume wake ambaye watashirikiana kufanya maisha ya heshima na kuwa na ustaarabu.
Ata mimi naon 10k parefuHio Bei ni ya kiwango cha juu, shoo za maeneo hayo ni elfu3 na kuendelea inategemea na bichwa lako na uzuzu wako tu