Madada poa wanavyoongezeka Ubungo Riverside

Gharama za kumiliki mwanamke wa mtaani ni kubwa sana ndio mana biashara hiyo imekuwa kwa kasi kubwa
Tena na hizi sikukuu zinazokuja za mwisho na mwanzo wa mwaka wenye kumiliki wanawake lukuki wa pembeni wajiandae bili za mavazi, vyakula, mawigi, vipodozi, salon, kodi na nauli zao wakitaka kusafiri kwenda kula sikukuu mikoani kwao. Pia ili kuepuka bill hizo hiki siyo kipindi kizuri cha kutongoza mwanamke wa kumfanya hawala.
 
Okey,ila hapo unajifunza Nini.
Je tuseme wateja ndo wameongezeka au.
Naimani kila mtu anatambua,wateja wao sio watalii kutoka nje ya Nchi.
Hiyo ni kazi Kama kazi,sema tu ni halamu.ila sio halamu kivile japo ni halamu kabisa.Ila je wateja ndo halamu au,najaribu kuwaza tu.
 
uhitaji, wahitaji =Wanaume wanazaliwa kila kukicha tena vinakuja na nguvu za kudai uchi mapema hiyo biashara haifi leo wala kesho.
Problem sio wanaume kuzaliwa problem ni wanaume kushindwa kupata genuine relationship hapa dar. Unakuta mdada anataka ukidate nae umlipie Kodi umeme maji nguo kucha nywele nauli za bolt mitoko yenu na yake yote etc hapo umetumia Kama million kwa mwezi ukicheki Kijana kazi yake simple hata laki mbili kwa mwezi hapati...why asijipooze riverside kwa 10k hata mara moja kwa wiki ..Tena huko hawakutani na viuno vigumu Kama Hawa kausha damu
 
Kwa upande mwingine huwa tunasema hivi tukiwa na dhamira ya kupenda iendelee ila jiulize jambo moja kuna makahaba wangapi, na je hawa wanafanya hii kitu kwasababu ilikuwapo tangia enzi za Yesu au kwasababu kuna shida katika jamii yetu inayopelekea wanawake kuendesha maisha nje ya mfumo wa mahusiano rasmi ya ndoa?

Me nadhani kama jamii kuna sehemu tunazingua ndio maana tunapata hii breed ya wanawake ambao wanaona ni rahisi kuishi kwa kutangatanga na kutumika kingono kuliko kutulia katika kaya yake na kuwa chini ya mwanaume wake ambaye watashirikiana kufanya maisha ya heshima na kuwa na ustaarabu.

umenena vyema mkuu.
 
Back
Top Bottom