Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Mke wa kwanza alikuwa nacho wakamkata ila nilitemana nae huyu wa pili anacho pia na tuna miaka 5 anaupepo na hela sana hata wa kwanza baada ya kumkata ndipo matatizo yakaanza na akawa anapendwa na watu ila upepo wa hela ukapotea huyu wa sasa hana time sana na watu ila ana upepo sijui nimkate na je kama ikatokea upepo ukabadilika hatuwezi achana kweli

Wadau ndaleta mrejesho ngoja nianze kupata uhakika wa mabibi wa zamani pia mama angu maana alikuwa mkunga wa jadi najua anajua itabidi nimjuze
 
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!

Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...

Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane

Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.

Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.

Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.

NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Kwani hao wenywe hivyo vimkia sijui wao wanasemaje???
 
Mm sijawahi kuona hiko kinyama
zaidi ya bawasili hata mie sijawahi kukiona hicho ki mkia kidogo.... so mfano watu maarufu mtu kama wema atakuwa nacho tu kwa vyovyote veile au?!! ni watu wa sampuli zipi ambao twaweza wabaini pasipo kuwapekua?!!! Fursa ya kuwapekua nayo ni adhimu....hata ikipatikana picha huwa adimu!!!
 
Back
Top Bottom