Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

naliwe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
501
1,000
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!

Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...

Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane

Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.

Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.

Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.

NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Mkuu ili andiko lako ni 100 % fact kabisa nnao ushahidi usio na mashaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Agustino87

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
5,597
2,000
Unaroho ya paka mkuu.
Kuna ukweli 89% niliyekuwa naye alikuwa nacho alikuwa na nyota ya pesa,ila alikuwa ameachana na wanaume kadhaa baadaye hata na mimi mwenyewe tukaachana,niliyenaye Sasa hivi naye anacho na kazalishwa na wanaume watatu nje ya ndoa nikibahatika kutia mimba Mimi nitakuwa mzazi mwenziwe wa nne

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: THT

Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
5,867
2,000
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote

Mkuu Mshana jr, ni lazima tukuulize, japo umejiwekea ulinzi mapema na kuuliza si ujinga, kuuliza ni kutaka kujua.

Hicho kinyama kitaalamu kinaitwaje??-- je haiwezi kukatwa kwa njia ya operation??

Je, umejuaje kwamba wanawake wenye hilo tatizo wanayo nuksi katika ndoa??

Je hakuna Wanaume wenye hiyo nyama huko mahala??-- kama kipo kwa wanawake tu je ni kwa nini??
 

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
2,843
2,000
kwana ni uongo kuwa hiki kinyama kipo kwa wanawake tu,wanaune pia wanacho na kakina uhusiano wowote ule na kufirana.huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine yoyote yale na huwa unatibiwa vizuri tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom