mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,658
- 9,762
Hii ni kweli na mimi imenitokea ni muhanga wa hilo.Mkuu vp kuhusu Stori za jini mahaba..au story za mtu hawezi kuoa au kutolewa kisa amefunga ndoa ya kiroho na jini
Nina maswali kwako mkuu,twende taratibuHii ni kweli na mimi imenitokea ni muhanga wa hilo.
Kila nikioa ndoa zinavunjika,nikimpa demu ujauzito unaharibika miaka inaenda tu.
Mwanzoni sikujua tatizo ila baadae wakaanza kujitokeza kunipa ishara ndotoni
majiniNina maswali kwako mkuu,twende taratibu
Umesema baadae wakaanza kujitokeza kukupa ishara,ni kina Nani hao?
Hilo tatizo la kutokewa ndotoni Hadi sasa bado unalo au umeshalitatua?majini
Mkuu na jambo langu nashindwa kuongia pm yakoHii ni kweli na mimi imenitokea ni muhanga wa hilo.
Kila nikioa ndoa zinavunjika,nikimpa demu ujauzito unaharibika miaka inaenda tu.
Mwanzoni sikujua tatizo ila baadae wakaanza kujitokeza kunipa ishara ndotoni
Bado lipo mkuu,nimeshatembea sana kwa wataalamu hakuna kilichobadilika,huwa wanakaa wiki kadhaa wanaamua wanakuja tenaHilo tatizo la kutokewa ndotoni Hadi sasa bado unalo au umeshalitatua?
njoo pm pako waziMkuu na jambo langu nashindwa kuongia pm yako
Sorry for this question..wewe Dini gani,na unaposema umetembea Kwa watawlwmu wote unamaanisha nnBado lipo mkuu,nimeshatembea sana kwa wataalamu hakuna kilichobadilika,huwa wanakaa wiki kadhaa wanaamua wanakuja tena
Mimi ni muislamu,nilitembea kwa wale watu wa vitabu na mitishamba sijui niwaiteje ili uwaelewe vizuriSorry for this question..wewe Dini gani,na unaposema umetembea Kwa watawlwmu wote unamaanisha nn
Hapa watu huwa wanachanganya,anachofanya Jini hapa ni kumchezea mtu na kumfanya kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi au kuota ndoto akifanya mapenzi au kukosa hamu,lakini hakuna ndoa kati ya jini na mwanadamu.Mkuu vp kuhusu Stori za jini mahaba..au story za mtu hawezi kuoa au kutolewa kisa amefunga ndoa ya kiroho na jini
Ndoa ipo mkuu ila sio ya halali.Hapa watu huwa wanachanganya,anachofanya Jini hapa ni kumchezea mtu na kumfanya kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi au kuota ndoto akifanya mapenzi au kukosa hamu,lakini hakuna ndoa kati ya jini na mwanadamu.
Swadakta,sababu shetani ni sifa.Mnyumbuliko mwingine:
Kumbe shetani anaweza kuwa binadamu au jini.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hili nalisia kwako. Naomba unieleze linawezekana vipi hili.Ndoa ipo mkuu ila sio ya halali.
Tena akiamua mnazaa kabisa watoto ila wewe unakuwa huna access nao hao watoto kwa sababu wanaishi kwenye ulimwengu wa majini.
Jini ana uwezo wa kujigeuza katika umbile analotaka mkuu.Hili nalisia kwako. Naomba unieleze linawezekana vipi hili.
Mwanadamu aliye umbwa kwa udongo anawezaje kuzaliana na Jini aliye umbwa kwa moto ?
Kuna umbile ambalo jini hawezi kujibadilisha kwalo. Lakini kujibadilisha katika umbile fulani halimfanyi Huyo jini akawa kwenye silika hiyo. Jini amepewa uwezo wakuflow katoka mwili wa mwanadamu kama damu inavyo flow. Na jini katika mwili wa mwanadamu kuna sehemu anazotumia kuingia na kukaa pia.Jini ana uwezo wa kujigeuza katika umbile analotaka mkuu.
Hili jambo nimelifuatilia kiundani sana sio kwa kusoma majarida.
Ni jambo limenitokea mwenyewe
Umesema anachofanya jini ni 'kumchezea' mtu na kumfanya kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi au kuota ndoto..me hiyo Hali ya kumchezea mtu ambayo hujaisema kumchezeaje si ndy hiyo ambayo kuna mdau mbu wa dengue anaisema kwamba ndy hiyo ya kufanya mapenzi na binadamu? Hebu fafanua hapo kwenye 'kumchezea' mkuuHapa watu huwa wanachanganya,anachofanya Jini hapa ni kumchezea mtu na kumfanya kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi au kuota ndoto akifanya mapenzi au kukosa hamu,lakini hakuna ndoa kati ya jini na mwanadamu.
Ingekuwa hivyo basi jini mahaba asingekuwa na wivu kwa binadamu.Kuna umbile ambalo jini hawezi kujibadilisha kwalo. Lakini kujibadilisha katika umbile fulani halimfanyi Huyo jini akawa kwenye silika hiyo. Jini amepewa uwezo wakuflow katoka mwili wa mwanadamu kama damu inavyo flow. Na jini katika mwili wa mwanadamu kuna sehemu anazotumia kuingia na kukaa pia.
Ila kuhusu kuingiliana kimwili hili halipo zaidi ya kufanya vitimbi vya kumfanya mtu asipende jambo fulani hili lipo,ila kuzaa na kuingiliana kimwili hili halipo.
Nimekuelewa mkuuPole s.Kupitia maelezo yako kuna kitu nimejifunza kikubwa sn hasa hii komentMimi ni muislamu,nilitembea kwa wale watu wa vitabu na mitishamba sijui niwaiteje ili uwaelewe vizuri
Kuwa na wivu hakumaanishi kwamba kuna maingiliano,yeye anakuwa na wivu ili kutimiza kazi yake,na si kwamba kuna muingiliano wa kimaumbile katika jimai (Tendo la ndoa).Ingekuwa hivyo basi jini mahaba asingekuwa na wivu kwa binadamu.
Fuatilia vizuri mkuu,usitosheke na hiyo concept ndogo uliyojifunza.
Ingia hata google uliza utajifunza zaidi mkuu.
Naposema kumchezea ni kumfanyia jambo la uongo na kumfanya mtu asiwe na hali ya kutaka kuoa au kuolewa. Majini wamepewa uwezo huo. Kuna watu unakuta wanachukia kufanya tendo la ndoa au wengine wanakosa hamu kabisa,hii ni miongoni mwa dalili za kufanyiwa vitimbi na majini,lakini hakuna tendo la ndoa baina ya jini na mwanadamu. Japo kuwa ukisoma vitabu vya wanazuoni wa kale husema ya kuwa ndoa kati ya jini na mwanadamu ipo,lakini kuna mambo wanashindwa kuyaweka kazi sababu ukweli ni kinyume chake.Umesema anachofanya jini ni 'kumchezea' mtu na kumfanya kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi au kuota ndoto..me hiyo Hali ya kumchezea mtu ambayo hujaisema kumchezeaje si ndy hiyo ambayo kuna mdau mbu wa dengue anaisema kwamba ndy hiyo ya kufanya mapenzi na binadamu? Hebu fafanua hapo kwenye 'kumchezea' mkuu