Mada yenye ukakasi: Majini yanayoishi nasi hapa duniani yenye umbo la kibinadamu (Demons/fallen angels in human form)

Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,575
2,000
Umesema anachofanya jini ni 'kumchezea' mtu na kumfanya kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi au kuota ndoto..me hiyo Hali ya kumchezea mtu ambayo hujaisema kumchezeaje si ndy hiyo ambayo kuna mdau mbu wa dengue anaisema kwamba ndy hiyo ya kufanya mapenzi na binadamu? Hebu fafanua hapo kwenye 'kumchezea' mkuu
Naposema kumchezea ni kumfanyia jambo la uongo na kumfanya mtu asiwe na hali ya kutaka kuoa au kuolewa. Majini wamepewa uwezo huo. Kuna watu unakuta wanachukia kufanya tendo la ndoa au wengine wanakosa hamu kabisa,hii ni miongoni mwa dalili za kufanyiwa vitimbi na majini,lakini hakuna tendo la ndoa baina ya jini na mwanadamu. Japo kuwa ukisoma vitabu vya wanazuoni wa kale husema ya kuwa ndoa kati ya jini na mwanadamu ipo,lakini kuna mambo wanashindwa kuyaweka kazi sababu ukweli ni kinyume chake.
 

Satoh Hirosh

JF-Expert Member
Mar 30, 2021
1,668
2,000
Naposema kumchezea ni kumfanyia jambo la uongo na kumfanya mtu asiwe na hali ya kutaka kuoa au kuolewa. Majini wamepewa uwezo huo. Kuna watu unakuta wanachukia kufanya tendo la ndoa au wengine wanakosa hamu kabisa,hii ni miongoni mwa dalili za kufanyiwa vitimbi na majini,lakini hakuna tendo la ndoa baina ya jini na mwanadamu. Japo kuwa ukisoma vitabu vya wanazuoni wa kale husema ya kuwa ndoa kati ya jini na mwanadamu ipo,lakini kuna mambo wanashindwa kuyaweka kazi sababu ukweli ni kinyume chake.
Unasema hakuna ndoa Kati ya jini na binadamu.

Swali langu kwako ni je,unasema haya Kwa sababu ya elimu ya dini uliyonayo(kadili ya maandiko ya dini) au ni utashi wako Tu mkuu..

je Una experience yoyote juu ya hili unalolitetea?

Mtu anayesema kwamba amewahi kukutwa na hili tatizo la jini mahaba unaweza kuthibitisha kuwa siyo kweli Bali ni michezo Tu?
 

Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,575
2,000
Unasema hakuna ndoa Kati ya jini na binadamu.
Naam.
Swali langu kwako ni je,unasema haya Kwa sababu ya elimu ya dini uliyonayo(kadili ya mwandiko ya dini) au ni utashi wako Tu mkuu..
Elimu ya dini.
je Una experience yoyote juu ya hili unalolitetea?
Aam kupitia matukio ya watu na kusoma matukio hayo vitabuni.
Mtu anayesema kwamba amewahi kukutwa na hili tatizo la jini mahaba unaweza kuthibitisha kuwa siyo kweli Bali ni michezo Tu?
Unaposema ni mchezo tu ulitakiwa kumalizia mchezo una chezwa na nani ?

Naweza kuthibitisha ya kuwa hivyo ni vitimbi vya majini kama wanavyo fanya vitimbi hivyo katika ndoto.
 

Satoh Hirosh

JF-Expert Member
Mar 30, 2021
1,668
2,000
[Unaposema ni mchezo tu ulitakiwa kumalizia mchezo una chezwa na nani ?

Naweza kuthibitisha ya kuwa hivyo ni vitimbi vya majini kama wanavyo fanya vitimbi hivyo katika ndoto.]

Yes mkuu nipe majibu ktk haya mawili
1.mchezo unachezwa na Nani
2.thibitisha hivyo vitimbi

Naam.

Elimu ya dini.

Aam kupitia matukio ya watu na kusoma matukio hayo vitabuni.

Unaposema ni mchezo tu ulitakiwa kumalizia mchezo una chezwa na nani ?

Naweza kuthibitisha ya kuwa hivyo ni vitimbi vya majini kama wanavyo fanya vitimbi hivyo katika ndoto.
 

Sergeant Stonebridge

Senior Member
Oct 8, 2014
172
1,000
Pia wapo...

Kwa Tz siwataji ila ..

Kwa mara ya kwanza ilikuwa Jana ulipoleta uzi humu kuhusu Jack Chacha wa Corner Bar (Ambiance)
Kuwa yeye ni Jini
na Leo hapa unakataa kuwa hauwezi kuwataja!
Kifupi JF umejiunga hata wiki haujamaliza ila nahisi una mambo mengi sana!
Unachokihubiri na unachokitenda ni vitu viwili tofauti sana!
Binafsi nimekujibu tu ila sikutaka hata nikujibu coz ni mtu usiyeishi maneno yako!
Labda basi niamini kuwa wewe mwenyewe ndiye Jini au?
Hizi story za majini umekazana nazo sana Boss kulikoni?
 

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
7,337
2,000
Hi guys

Hapa duniani si kila binadamu unaemuona ni binadamu kweli, haya mambo nimeyafahamu baada ya mm kufanya research yangu mtandaoni, kwa kusoma shuhuda za walokole kama kina rachel mushala wa facebook, waliomtumikia shetani na baadae kuokoka, pamoja na kuchanganya akili zangu.

Majini huwa tunakutana nayo kila siku sema hatujui kuwa waoni majini, na wapo kwenye all Classes of people, Na wanafanya karibia kila kitu binadamu tunachofanya,wapo matajiri, maskini, tabaka la kati, ombaomba, maraisi, waigizaji, wanamziki, ma-pastor, masheikh, wachungaji, na wapo kwenye kabila zote za binadamu kama wazungu wa asia, wa Latino, waafrika, waarabu etc

Asili yao ni kwamba Wao ni malaika waliotupwa mbinguni Pamoja na ibilisi, na nia yao ya wao kuja kuishi na sisi hapa duniani kama binadamu ni wao kutu-influence sisi kirahisi tufanye dhambi Na kumkosea Mungu, Ninayosema yapo kibiblia, soma kitabu cha mwanzo wale malaika walioangamiza sodoma Walivyokuja na umbo la kibinadamu Na wale wanefili, nahisi hata quran na sahih hadithi zinaongelea hili jambo, waislam mtanisaidia hapa .

Mungu aliwatupa toka mbinguni ila hakuchukua uwezo wao wa kujibadilisha na kuwa kama binadamu.

Hawa majini ni wake au waume au watoto za watu, ni ndugu zetu, marafiki zetu, classmate au workmate wetu, ni jirani zetu mtaani Wanazaliwa wanakua, wanaoa, wanaolewa, wanapata kazi wanazeeka wanafariki,unaweza hadi uka-trace ukoo wao, huwezi watambua kwa kuwaona kwa macho ya nyama au kwa kuangalia matendo yao bcoz wanajua sana kuigiza. Binadamu wa kijini aliemuoa Au alieolewa na binadamu wa kawaida mtoto atakayezaliwa lazima atakua jini.

Unaweza ukamwona mtoto wa miaka 5 kumbe kiuhalisia anakuzidi wewe umri, na kiroho alikuwepo kabla na tangu enzi za adamu na huyo mtoto anajifaham yeye ni nani na ataigiza kama mtoto

Wako wengi sana na haukutani nao mara moja moja kila siku, unakutana nao Kila siku sema hujui kuwa wao ni majini, na hawazaliwi na Kujikuta wao ni majini, wanajijua wao ni nani, wanajijua na wanakumbuka walivoasi na walivotupwa na Mungu kutoka mbinguni, na wanajua mission yao hapa duniani ni nini na wanajua wanam-target binadamu gani na kwa muda upi.

Kim kardashian na nduguze, tontoh dikeh, patience ozokwor, wote hao inasemekana ni majini waliovaa maumbo ya kibinadamu, hata kundi la mziki linalojiita imagine dragons wote nao inasemekana ni majini.

Pia majini wanajionesha maumbo yao kwenye filamu za hollywood kama vile superman, Spiderman, Hellboy, venom, X-Men, batman, the beauty and beast, katuni za Disney Na nickelodeon baadhi ya katuni ni maumbo ya majini kabisa, pia saa ingine majini walio kwenye maumbo ya kibinadamu wanaji-expose wao wenyewe Bila ya sisi binadamu halisi kujua, kwa walioona filamu ya sorcerer and the white snake ya jet lee, Na journey to the west ya kichina mtanielewa. Hata kwenye filamu ya devil kingdom ya Kanumba ramsy noah aliigiza kama lusifa aliyevaa umbo la kibinadamu, kwa walioiangalia Vizuri watanielewa.

Wanapoteza muda wao na nguvu zao kuigiza filamu Za kidunia Wakiwa na satanists ma-Agent wa shetani ambao ni binadamu halisi, wanaimba nyimbo za kidunia na za kidini pia, wanaanzisha trend mpya za mavazi, nywele, na kucha, ili sisi binadamu halisi tuwaige, mwishowe tuende nao kwenye adhabu ya ziwa la moto, yani sababu yao kubwa ya wao kuja hapa duniani kwa umbo la kibinadamu, ni kuvuna roho zetu sisi binadamu halisi Kwa kutushawishi tufanye dhambi, ili siku ya mwisho twende Nao kwenye ziwa la moto wa milele. Wanajua hawawezi samehewa So wanatu-influence na sisi tupotee kama wao, hukumu yao iko fixed na Mungu, Na wako very serious kwenye mission zao, kila wanachofanya ni mission, hata wakijenga urafiki na wewe ni mission, kuna kitu wana-aim, wakiwa kwenye maumbo ya kibinadamu walimu mtaani wanajuana, ila watajifanya hawajuani Ili waonekane ni binadamu. Wako Pia facebook instagram na mitandao mingine ya kijamii, wakiwa na maumbo ya kibinadamu wanajifanya ni watu wa kawaida, au watu wema sana, au wanaweza kubeba tabia ya ukali au usnitch lakini kiuhalisia ni wakatili na waovu mno Kuliko unavofikiria

Hata darasani na vyuoni, majini yaliyo na umbo la kibinadamu wanajifanya kufeli masomo au kupata maksi za kawaida ili waonekane binadamu lakini kiuhalisia wanajua mambo mengi zaidi kuliko binadamu halisi alietunga huo mtihani, wanajifanya wageni wa teknolojia Ili waonekane binadamu, wakati wao ndio wagunduzi wa teknolojia miaka mingi iliopita kabla ya hio teknolojia kufika hapa duniani

Inasemekana hadi lusifa huwa anakuja hapa duniani akiwa kwenye umbo la kibinadamu kwa ajili ya mission tofauti, mda mwingine anakuja kwa ajili ya kufanya ngono na wadada wa kibinadamu, baada ya miezi michache hao wadada hufariki, au kujaribu walokole/watu wa Mungu wa kweli Walioshindikana..

Usianze nyooshea watu vidole na kuhisi flani ni jini kwa kuangalia muonekano na matendo yao, the only way unaweza watambua majini wenye umbo la kibinadamu, ni Mungu akuoneshe maono, kama wewe ni mcha Mungu, au uwe ni mtumishi wa juu sana wa shetani.

Najua hii topic ni confusing na baadhi ya watu hawataamini, Kama wewe umejikuta tu upo hapa duniani wewe ni binadamu wa kweli, haina haja ya kujihisi kuwa wewe ni jini. Binadamu halisi hutokea tu pale ambapo binadamu halisi wawili watakutana kimwili.
Thank you for sharing...ngoja nimtafute huyo rachel
 

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
6,401
2,000
Nimekuelewa mkuuPole s.Kupitia maelezo yako kuna kitu nimejifunza kikubwa sn hasa hii koment

Kwamba ulitembea Kwa watu wa vitabu na watu wa miti shamba lkn hata sasa hujafanikiwa..mkuu Mshana Jr nashukuru Kwa ule ushauri
Mkuu iko hivi,sio kwamba tatizo halitibiki mkuu.
Linatibika sema tatizo ni uaminifu kwa Watanzania ni tatizo.
Mtu hata kama uzoefu hana wa hiyo shida anajitutumua ili mradi apate pesa ya kununua mchele.
 

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
6,401
2,000
Kuwa na wivu hakumaanishi kwamba kuna maingiliano,yeye anakuwa na wivu ili kutimiza kazi yake,na si kwamba kuna muingiliano wa kimaumbile katika jimai (Tendo la ndoa).

Hata ukirejea katika historia ya uchawi,huwezi kuutenganisha Uchawi na Majini,na uchawi wa aina ya pili unahusisha kufarakanisha baina ya mke na mme,siyo kwamba mfarakano unatokea kwa wao majini kujiweka fizikali,la hasha,bali kuwashawishi na kuweka vikwazo,na hiki ndicho hufanyika pia katika suala la kumzuia mtu na matamanio au kuchukia kuolewa au kuoa na mfani wa hayo.
Sawa tukiachana na hayo.
Wewe ulijifunza wapi au maandiko gani ambayo yanasema jini hana uwezo wa kumuingilia binadamu au kuzaa naye?
 

Mtumaini Mungu

JF-Expert Member
Aug 3, 2021
879
1,000
Ndoa ya kiroho kati ya mwanadamu na jinni ipo, hivyo unavyosema vitimbi hizo ndizo ishara kuwa uko katika hiyo ndoa.

Ndoa hii haiwezekani katika ulimwengu wa mwili, ila katika ulimwengu wa roho.. sasa ikisha tekelezwa katika ulimwengu wa roho majibu yake yanaweza jitokeza kwenye ulimwengu wa mwili.. hapo ndipo zinapokuja dalili...

Nyingi ya ndoa hizi husababishwa na wao majinni.. lakini baadhi husababishwa na wanadamu wenyewe kwa kufungua MALANGO mbalimbali ndani ya miili yao/nafsi/roho zao.

SULUISHO.
1.Nenda mbele za Mungu Omba Toba kwanza..

2.Damu ya Mwana wa Mungu, hii ndio kiboko ya damu na roho zote chini na hata juu ya mbingu.
 

BinSalum7

JF-Expert Member
Jan 26, 2019
330
1,000
Kuna kitu hukijui na sio kimoja wala viwil, ila acha nikae kimya maana maneno yangu yanaweza kuamsha hisia tofaut.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom