[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hivi haya madudu hayapatagi Heart attack?? Au pressure??
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
takwimu zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa wa mwanamke kudanganya kafika kileleni kuliko nyoka kukung'ata na kukuachia sumu.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Siyo kila mara nyoka akikung'ata atakuachia sumu. Huweza kukung'ata na asikuachie sumu kwakua anajua wewe siyo chakula chake hivyo hawezi kupoteza sumu yake wakati ataihitaji katika kuwinda.
Kitendo cha kung'ata bila kutoa sumu huitwa 'Dry bite' takwimu zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa wa mwanamke kudanganya kafika kileleni kuliko nyoka kukung'ata na kukuachia sumu.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sumu ya nyoka huitwa venom na siyo poison. Venom ni sumu ambayo ili ifanye kazi inatakiwa iingie kwenye mishipa ya damu wakati poison ufanyaje wake kazi huweza sababishwa na hata kuigusa tu au kuimeza.
Kutokana na hilo inawezekana ukanywa sumu ya nyoka na usife kwakua ikifika tumboni itameng'enywa kama vyakula vingine tu.
Na hao dolphins waliendelea na ubakaji saa 2 baada ya yule Seal kufa.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Simba anahusudu ngono. Jike akijifungua hutakiwa kulea watoto hivyo hawezi kushirikitendo kwa kipindi hicho. Simba dume akiona hivyo anachofanya ni kuua wale watoto ili mama awe free na yeye aendelee kupiga mambo yake.
Mnyama mwingine mpenda ngono ni dolphin, dolphin wao hubaka na ubakaji wao hauishii kwa dolphins wenzao wanabaka kila wanachoweza kukibaka. Kwenye documentary moja dolphin wawili walimbaka seal mmoja mpaka seal akafa.
Na hao dolphins waliendelea na ubakaji saa 2 baada ya yule Seal kufa.
Hao Orcas ni noma. Wanakurusha kama mpira hadi unavuta. Wanakuww kama wanapasiana mpira kwa kichwa.Nyoka mwenye sumu kali duniani yupo Australia. Anaitwa Inland Taipan ndugu yake wa karibu ni Coastal Taipan wana death toll kubwa kwakua hakuna antivenom bado.
Hata hivyo ukiwa Australia hao siyo wanyama pekee wa kuwahofia. Utatakiwa uwahofie Stone fish, Box Jellyfish ambao wana sumu kali isiyo na tiba kokote. Kangaroo inabidi uwakimbie achana na muvi adult kangaroo is deadly, na Great White Shark hawa papa hukua mpaka kufikia futi 25.
Hata hivyo chakula cha papa kikuu ni seal, papa hawindi binadamu actively. Ikatokea papa amekutana na binadamu hufanya ile kumzunguka zunguka kujaribu kung'amua hiki ni kiumbe gani. Akiona haelewi anang'ata kisha anagundua huyu siyo seal anaachana na wewe. Ndiyo maana wanaokufa kwa ajili ya papa hua ni majeraha yanayotokana na kung'atwa vital organs.
That aside I wish niseme nothing can stop Great White Shark ila hapana hawa papa huuawa na Orcinus Orca au Killer Whale. Wote tunajua whales hawali nyama hivyo kuwaua papa hawa itakua wanachukulia mchezo anyway, these whales have learn't kwamba papa wanahitaji kua in a movement muda wote so wanachaofanya ni kumvizia papa wanamtokea kwa chini kisha wanakua kama wanamnyanyua hivyo kuzuia movement.
Grenade noma sana...Tupia chochote kuhusu wanyama
Kibaya
Kizuri
Cha kuchekesha
Cha kushangaza
Cha kuhuzunisha
Cha kufurahisha
Cha kusikitisha nk nk
View attachment 1709936