Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,300
- 13,199
Kuna kiumbe jamii ya samaki anayeitwa Immortal Jellyfish (Turritopsis dohrnii) ambaye hana uwezo wa kufa kwa uzee. Badala ya kuzeeka na kufa kama viumbe vingine, samaki huyo ana uwezo wa kipekee wa kurejesha seli zake nyuma na kuwa kijana mdogo (hatua ya polyp) na kuanza maisha upya.