Mada ya wanyama

Huyu ni mmoja ya wanyama wenye akili sana duniani. Kwenye top four kuna sokwe mtu, mbwa, pomboo(dolphin) na huyu jamaa. Pia ni bosi mmoja msafi sana. Kama umewahi mfuga utakuta anajisaidia mbali na anapokula.
Shida yake kubwa akiumwa njaa anakula mpaka nnya yake yaani ni recycle bin[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…