Mada ya ndege

Mada ya ndege

FB_IMG_1766197909031.jpg
 
Most of us picture crows as shadows with wings, glossy black, loud, and impossible to ignore. That’s why a white crow feels like nature hitting the plot twist button. 🐦 This isn’t paint, dust, or magic, it’s genetics. True albino crows lack all pigment, even in their eyes, while leucistic crows lose most of it, ending up pale but not fully albino. Either way, spotting one is incredibly rare.

Being white in a world built for black feathers isn’t easy. No camouflage, no blending in, and predators can spot you like a typo on a white page. Yet this crow is surviving just fine, proving that resilience sometimes comes wrapped in feathers that break all expectations.

Seen in the Philippines, this bird is a quiet reminder that biodiversity isn’t just about numbers, it’s about surprises. Nature still experiments, still astonishes, and occasionally sends a white crow to remind us that even the strangest odds can be beaten. ✨
FB_IMG_1766322959213.jpg
 
CUCKOO BIRD...
Nikupe habari ya huyu ndege. Ni parasite bird. Yaani yeye haatamii mayai wala halei mtoto wake hata siku moja. Anachofanya anavizia ndege mwingine akitengeneza kiota chake na akataga mayai na yeye huenda kutaga yai lake hapo (anachanganya na ya huyo ndege) Ndege mwenye kiota chake ataendelea kuatamia mayai mpaka siku ya kutotoa anatotoa pia na mtoto wa Cuckoo. Hapo shughuli ya kulea watoto huanza na mtoto wa Cuckoo kwa kuwa huwa na umbo kubwa anawasukuma na kuwatupa nje ya kiota watoto wa mama ndege husika na kubaki peke yake na anaendelea kuinjoi maisha hapo kwa kulishwa misosi yote na wazazi hao wa kufikia.
 
Mfalme Willem-Alexander wa Uholanzi amekuwa akiruka ndege za abiria kwa miaka mingi bila kujulikana.

Mfalme huyo alianza kuruka ndege za KLM Cityhopper miaka ya 1990, na baadae akajifunza kurusha Boeing 737.

Hata baada ya kuwa mfalme mwaka 2013, aliendelea kuruka ndege safari 2 hadi 3 kwa mwezi.

Mfalme Willem hutumia jina la bandia la "Meneer van Buren" anarusha ndege ili asiweze kugundulika.

Kwasasa amemaliza safari yake ya mwisho na Boeing 737, lakini anatarajiwa kujifunza kuruka Airbus A321neo ili aendelee kuruka ndege za abiria baada ya shirika hilo kupadili ndege kutoka Boeing 737 kwenda Airbus 320Neo.
1773669156197.jpg
 
Kabul, Afghanistan - Ndege ya Ariana Afghan Airlines ya aina ya Boeing B737-400 imetoka nje ya barabara ya ndege na kusimama kwenye nyasi wakati ikitua kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Kabul siku ya tarehe 25 Machi 2026.

Shirika la ndege hilo limethibitisha kuwa abiria wote walishushwa salama kupitia njia za dharura na hakuna mtu aliyejeruhiwa.

Timu za kiufundi zimeanza uchunguzi ili kubaini chanzo cha tukio hilo.
1774489759898.jpg
 
Back
Top Bottom