Ninavyojua mimi tai hawana tofauti sana na mwewe, japo tai huwa ni wakali, wakubwa na wana kama rangi nyeupe wakati mwewe ni mweusi. Sina uhakika na maelezo yangu kwani ndege wengi nawajua kwa majina ya kilugha.
Ndiyo. Sisi tuliozaliwa vijijini tumenyang'anywa nyama sana na huyu. Unakuwa umebeba nyama toka buchani, anakuvizia anateremka kwa kasi ya ajabu na kupaa nayo. Wana uwezo mkubwa wa kujua umebeba nyama.