Mada Star TV: Mitandao ya kijamii ifungwe?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,671
149,858
Hii ndio mada inayojadiliwa star tv muda huu katika kipindi cha "tuongee asubuhi" na iko katika mtindo wa swali.e

Kipindi ndio kinaanza hivyo mwenye kupenda kufuatilia afuatilie.

Binafsi najiuliza ni nini kiko nyuma ya mada hii au nini kimewasukuma kuja na mada ya aina ya aina hii kwakweli sielewi.
 
Hii ndio mada inayojadiliwa star tv muda huu katika kipindi cha "tuongee asubuhi" na iko katika mtindo wa swali.e

Kipindi ndio kinaanza hivyo mwenye kupenda kufuatilia afuatilie.

Binafsi najiuliza ni nini kiko nyuma ya mada hii na kwakweli siekewi.
Waambie nawatahadharisha wasijaribu wasirogwe kuifunga.
 
Hii ndio mada inayojadiliwa star tv muda huu katika kipindi cha "tuongee asubuhi" na iko katika mtindo wa swali.e

Kipindi ndio kinaanza hivyo mwenye kupenda kufuatilia afuatilie.

Binafsi najiuliza ni nini kiko nyuma ya mada hii au nini kimewasukuma kuja na mada ya aina ya aina hii kwakweli sielewi.
Hivi ilikuaje had ukaweka star tv ? Me hata nkiwa nachagua chanel nairuka, sitakag hata kujua wanachoonesha, yan mm na makada wa lumumba hatuchangamanagi kabsa, hilo limada wajibu makada wenzao, kwanza ikifungwa mitandao wao ndo wataumia coz wanapenda kutafuta attention kwenye media
 
Acha vitisho toa hoja,Wasifunge ila hizi fake I'd ziondolewe zinatupa ujasiri fake.Ukijilipua uwe umejipanga sawa sawa.
 
wambie wamechelewa.. Mitandao sasa ndo dunia ya Leo na si Tanzania ya Leo. labda watanzania tuhame duniani
 
unafanya nini sasa hapa... si usiingie uanze kujitoa wewe... kweli vibalaka wa lumumba mna kazi.. shwani
Vibalaka ndio nini wewe bakunja ...kazi kutuharibia kiswahili chetu nyie watu wa Congo mna shida sana, next time andika sawa sawa ni VIBARAKA with R not L .
 
Wamekosa mada za kuzungumza ? Baada ya kuongelea bashite kuvamia media kwa jeshi akilazimisha udaku wake kuoneshwa wanajadili kufunga mitandao.....
 
Back
Top Bottom