Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
hivi walisha lipa yale malimbikizo ya kodi tra na tcra?Startv Si Ndiyo Wale wale
hivi walisha lipa yale malimbikizo ya kodi tra na tcra?Startv Si Ndiyo Wale wale
Acha kushindana,weka hoja.Anza wewe kuweka ID isiyo fake
nani amekubishia? hapa kila mtu anachangia na kutoa maoni yake. kwani wewe umepewa kazi ya kukusanya maoni??acheni undunya server ziko marekani tunabishana hapa bongo,
kwani wewe una faida gani kwa taifa?ifungwe tu haina faida kwa taifa...kuanzia facebook,instagram,twitter mpaka huu
Na ww pia wakufunge watu tukafanye kazi
sawa kiongozi asante kwa kunisahihisha. ila ujumbe umekufikia.Vibalaka ndio nini wewe bakunja ...kazi kutuharibia kiswahili chetu nyie watu wa Congo mna shida sana, next time andika sawa sawa ni VIBARAKA with R not L .
Mkuu anataka tukafanye kazi tuache kila kitu tofauti na kazi, ikiwezekana hata wake zenu muwaache mkafanye kazi..[/QUOTE
Si ajabu tukaambiwa tuache maisha tukafanye kaz😉😉
Mi dira ya dunia tu basiHivi ilikuaje had ukaweka star tv ? Me hata nkiwa nachagua chanel nairuka, sitakag hata kujua wanachoonesha, yan mm na makada wa lumumba hatuchangamanagi kabsa, hilo limada wajibu makada wenzao, kwanza ikifungwa mitandao wao ndo wataumia coz wanapenda kutafuta attention kwenye media