Mada Star TV: Mitandao ya kijamii ifungwe?

Mada Star TV: Mitandao ya kijamii ifungwe?

Hii ndio mada inayojadiliwa star tv muda huu katika kipindi cha "tuongee asubuhi" na iko katika mtindo wa swali.e

Kipindi ndio kinaanza hivyo mwenye kupenda kufuatilia afuatilie.

Binafsi najiuliza ni nini kiko nyuma ya mada hii au nini kimewasukuma kuja na mada ya aina ya aina hii kwakweli sielewi.
Huyo mwandishi mshahara hajalipwa mda kampuni inamadeni lukuki badala wajadili mustakabali wa maisha yao wanakuja na mada za kipuuzi
 
Hii ndio mada inayojadiliwa star tv muda huu katika kipindi cha "tuongee asubuhi" na iko katika mtindo wa swali.e

Kipindi ndio kinaanza hivyo mwenye kupenda kufuatilia afuatilie.

Binafsi najiuliza ni nini kiko nyuma ya mada hii au nini kimewasukuma kuja na mada ya aina ya aina hii kwakweli sielewi.
Low thinking capacity even star TV (A TV Broadcasting Station) are part and parcel of social medias
 
Mkuu wewe ni mtu wa kipekee sana, yaani asubuhi hii wewe unatune star TV?

Mimi hiyo tv huwa naangalia BBC swahili tu basi, tofauti na hapo sijui hata vipindi vyao

Laiti kungekuwa na tv nyingine inajiunga na BBC swahili ningeiblock kabisa hiyo star tv
 
Hao startv tangu uchaguzi mkuu siangalii kabisa, ila Mkuu ameshasema anatamani malaika ashuke na kuifunga mitandao ya kijamii, nadhani Startv wanatembelea yale anayoyapenda JPM.
Hii mada ningefurahi kama wangechambua JF kama mfano kati ya mitandao ya kijamii. Wangepitia forums zilizopo faida na hasara. Ninajua watajikita zaidi katika issue za kisiasa,jambo ambalo halitatoa picha kamili. Mtandao kama JF,una faida kubwa. Kuna watu wameibuka kuwa wajasiriamali wazuri kupitia bussiness ideas za posts za hapa JF,wafugaji na wakulima wanatumia sana hapa. Kuna watu wamenunua magari,nyumba,viwanja,mashamba kupitia JF. Kuna watu wamepona magonjwa kupitia ushauri wa JF Doctor. Hayo ni kwa uchache. Madhara ya JF,ni kama baadhi ya wanasiasa kupoteza nyadhifa kwa maovu yao kufichuliwa,kusemwa bila ushahidi nk. Kwa uelewa wangu,nikipima faida na hasara,ninaona hakuna haja kufunga mitandao,otherwise kuna uvunjaji wa sheria za media. Na ikiwa hivyo tuna TCRA na siyo mtu mwingine mwenye regulatory authority.
 
Hii ndio mada inayojadiliwa star tv muda huu katika kipindi cha "tuongee asubuhi" na iko katika mtindo wa swali.e

Kipindi ndio kinaanza hivyo mwenye kupenda kufuatilia afuatilie.

Binafsi najiuliza ni nini kiko nyuma ya mada hii au nini kimewasukuma kuja na mada ya aina ya aina hii kwakweli sielewi.
Hivi mitandao ikifungwa tutaongelea wapi ? Itakuwa Giza Nene !
 
Naunga mkono ifungwe yooooote, baa pia zifungwe, club zifungwe, pombe marufuku, makanisa na misikiti ifungwe watu wakafanye kazi..
 
Si nilisikiaga kuna yule mama alitaka mitandao ya bongo iwe inasitisha huduma ya internet mchana hiv ili ishia wap
 
Wamepoteza soko hao Star TV huwa tunaangalia saa tatu usiku tu wakijiunga na BBC
 
hivi Africans tuna genes gani?? ulimwengu wa technology wewe unafight kupngana na technological development,hivi ingekuwa kama mababu wangeng'ang'ania stone technology wakati dunia ilimove to iron technology
 
Back
Top Bottom