haya mambo ya kuwasiliana kila siku ndiyo yanasababisha mkose story muanze kujikuta mnaanza kuongea mambo ya kuoana na kuishi pamoja.Mtu anayekupenda hawezi kupiga kimya siku 3 mfululizo pasipo kukujulia hali.
Kama tatizo ni salio kubip hajui?
Nimenyanyua hili bango kwa mikono miwili..😜sio mama yako uyo, achana nae
Kwani mkipiga stori za kuoana na kuishi pamoja kuna tatizo? Mahusiano huimarishwa na mawasiliano, huyo anayepiga kimya mwaka mzima anakuwa ana mahusiano mengine, hivyo anakuwa kahamisha tu mawasiliano kutoka huku kwenda kule. Mtu apige kimya mwaka mzima huyo naye wamtegemea?haya mambo ya kuwasiliana kila siku ndiyo yanasababisha mkose story muanze kujikuta mnaanza kuongea mambo ya kuoana na kuishi pamoja.
Potezeaneni hata mwaka
hii ina ukweli aslimia mia yaanhaya mambo ya kuwasiliana kila siku ndiyo yanasababisha mkose story muanze kujikuta mnaanza kuongea mambo ya kuoana na kuishi pamoja.
Potezeaneni hata mwaka