Mada moto: Unawezaje kudeal na mpenzi ambaye hakutafuti mpaka umtafute?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Kuna nada inazungunzwa radioni mapenzi ya upande mmoja ambao unangaika na upande mwingine

Ambapo kuna wakati katika mahusiano wewe na mpenzi wako mnafikia kipindi hakutafuti mpaka umtafute wewe na hata usipomtafuta halalamiki.

Unaweza kupiga kimya siku tatu au mbili kumpima Kama atakutafuta unashanga yupo kimya

Hali Kama hii unawezaje kuhandle au kudeal nayoo ukiangalia hii Hali Kama inakuumiza
 
haya mambo ya kuwasiliana kila siku ndiyo yanasababisha mkose story muanze kujikuta mnaanza kuongea mambo ya kuoana na kuishi pamoja.

Potezeaneni hata mwaka
Kwani mkipiga stori za kuoana na kuishi pamoja kuna tatizo? Mahusiano huimarishwa na mawasiliano, huyo anayepiga kimya mwaka mzima anakuwa ana mahusiano mengine, hivyo anakuwa kahamisha tu mawasiliano kutoka huku kwenda kule. Mtu apige kimya mwaka mzima huyo naye wamtegemea?
 
Hapo huna mpenzi maana ukiona hutafutwi jua kuna ambae anatafutwa.
Ukiona unanyimwa vitu fulani(attention) kwnye mahusiano yako jua kuna kwingine vinaongezeka kwa level ile ile unayonyimwa.
Hahahaha kijana upo vizuli
 
Huyo ndo safi sasa, yanini kuulizana kila wakat kama umekula au umelala..
Hapo unasubir siku una nganga zako unamtafuta then unaenda kumsukumia mguu wa mtoto alafu unapiga kimya mpk hamu ikija tena
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom