Mada moto: Unajisikiaje pale unapoona watu uliokuwa nao utotoni wamekuacha mbali kimaisha?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,183
3,547
Kuna msemo usemao maisha ni safari ndefu kama ni ndio je ivi unazungumziaje swala la kuachwa mbali kimaisha either na marafiki au watu wako wa karibu ambao mmekuwa wote tangia mkiwa watoto na mmecheza wote.

Lakini baada ya miaka kadhaa wenzako unawakuta wapo mbali katika maisha na kimaendeleo wakati wewe mwenyewe upo pale pale lakini pia ukiwaona huwa unajisikiajee
 
Maisha ni foleni. I jus take it as a challenge

But vile vile kila mtu ana namna anavyo define mafanikio. Wengine wanapima mafanikio kwa vitu mfano nyumba,magari ,akaunt iliyoshiba bank.

Wengine wanapima maendeleo kwa kiwango cha maisha ya furaha waliyo nayo au anavitu vichache vinavyo mpa furaha eg mke,watoto au ndugu na marafiki.
 
Maisha ni fumbo ambalo majibu yake kila siku ni mapya, ni mtihani ambao kila mtu anamaswali yake tofauti na mwingine hivyo hata ukokotoaji wake ili kupata majibu unatofautiana, shida itaanzia pale utakapotaka ku-copy formula ambayo haiendani na maswali yako.
Siku zote, kile unachokiamini kwamba ukikifanya kwa ukamilifu kitakuletea mafanikio basi kishikilie na ufanye hivyo maana utafanikiwa, usijaribu kufanya cha mwingine ambacho unaingia kwa kujaribu kifanye kama unaamini unakiweza. Tuweke dhamira ya dhati kwa vitu ambavyo tunaviamini na sio kwa vitu ambavyo tunahisi kuviamini.
 
Kuna msemo usemao maisha ni safari ndefu kama ni ndio je ivi unazungumziaje swala la kuachwa mbali kimaisha either na marafiki au watu wako wa karibu ambao mmekuwa wote tangia mkiwa watoto na mmecheza wote.

Lakini baada ya miaka kadhaa wenzako unawakuta wapo mbali katika maisha na kimaendeleo wakati wewe mwenyewe upo pale pale lakini pia ukiwaona huwa unajisikiajee
Huwa nawapongeza nilionao kwenye makundi na wengine ambao hata siwezi kuonana nao siku hizi, nikiwasikia kwenye Vyombo vya habari hufurahia hadhi zao.
 
Aisee huwa nashtuka mbaya yani,Nasikia ndevu zinapukutika na mwili unalegea,koo linanikauka kisha nakumbuka blunder zote nilizowahi fanya katika maisha halafu nawacheck nione mtazamo wao kwangu nikiona dharau na maringo nawaona tu kumbe hawajafika ili nikiona Genuine concern with respect basi najua kwamba kweli hawa wana maendeleo na kwamba wamekomaa kihisia ni kimaisha na huwa nakuwa nao karibu bila kufeel inferior
 
Mimi kiukweli nikikutana na watu wa namna hiii huwa roho yangu inaniuma sana sometime natamani nijifiche nisionane nao maana ni kama aibu au fedhe

Kiukweli nikikaa saa nyingine nikiwaona huwa najisikia katika nafsi yangu kujuta muda nilioupoteza katika mambo ambayo hayaningiizii chochote

Kwa mfano ushabiki wa mpira ambao haukiningizia chochote kile mfukoni
 
Kuna msemo usemao maisha ni safari ndefu kama ni ndio je ivi unazungumziaje swala la kuachwa mbali kimaisha either na marafiki au watu wako wa karibu ambao mmekuwa wote tangia mkiwa watoto na mmecheza wote.

Lakini baada ya miaka kadhaa wenzako unawakuta wapo mbali katika maisha na kimaendeleo wakati wewe mwenyewe upo pale pale lakini pia ukiwaona huwa unajisikiajee
Napambana na hali yangu
 
usiishi kwa kumuangalia mwingine... live your own life. kama alinyonga mama yake na wewe ukamnyonge wako?
Kiongozi tusidanganye ukweli utabaki pale haiwezekani binadamu haswa sisi waafrica tukaishi maisha ya kutomwangalia flani anafanya nini pale sisi waafrica haswa watanzania tunaishi maisha ya kufatiliana.

Ndo maana mtu akifilisika kila mtu ataongea la kwake lakini akiwa pesa na mafanikio tunajifanya tunaishi maisha ya kutokufatiliana lakini ukweli unaumaa mtu aliyefanikiwa katika maisha mliekuwa mnajuana muda mrefu akifanikiwa roho lazima iumieeee tuuu
 
Na ndio maana hata umeme ukikatika usiku lazima tuchungulie kama na jirani nako kuna giza
 
Kuna msemo usemao maisha ni safari ndefu kama ni ndio je ivi unazungumziaje swala la kuachwa mbali kimaisha either na marafiki au watu wako wa karibu ambao mmekuwa wote tangia mkiwa watoto na mmecheza wote.

Lakini baada ya miaka kadhaa wenzako unawakuta wapo mbali katika maisha na kimaendeleo wakati wewe mwenyewe upo pale pale lakini pia ukiwaona huwa unajisikiajee
Roho huwa ina uma kinoma
 
Wengine walisukumizwa wakawa marais wa nchi, na wewe utasubiri usukumizwe, haiwezekani
 
Kuna msemo usemao maisha ni safari ndefu kama ni ndio je ivi unazungumziaje swala la kuachwa mbali kimaisha either na marafiki au watu wako wa karibu ambao mmekuwa wote tangia mkiwa watoto na mmecheza wote.

Lakini baada ya miaka kadhaa wenzako unawakuta wapo mbali katika maisha na kimaendeleo wakati wewe mwenyewe upo pale pale lakini pia ukiwaona huwa unajisikiajee
What is needed my friend is true happiness but tukumbuke kuwa mwisho wa siku kuna kufa na kuyaacha yote hayo unayoyadhania kichwani mwako kuwa ni mambo ya kudumu !
 
Na ndio maana hata umeme ukikatika usiku lazima tuchungulie kama na jirani nako kuna giza
Sio hivyo tuu hata leo ukipata pesa kuna watu watakuwa wanakutafuta uwasaidie kutatua matatizo yao wengine wakuombe pesa wana shidaa.......

Hawa watu hawafanyi hivi sio kama hawajawaona watu wengine laa hasha hapana watu wamekuwa wakifatilia maisha yako sasa filisika sasa uone kama utawaona tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom