Pole pole ana hoja,anajibu kwa hasira kama mbogo na hoja anazojenga ni dhaifu mno.
Hii hoja anayojenga kwamba kiongozi mkuu wa nchi asiwe na tuhuma,na tusitegemee mahakama kwa hili.
Nashindwa kuelewe kama mtu akituhumiwa na watu,awe disqualified kwenye uongozi.Navyojua mimi,mahakama ndo chombo pekee kinachotakiwa kusafisha tuhuma kwa mujibu wa sheria.
Polepole is genius aisee...hata wanaopiga simu wanamchana Msigwa kuwa ni mchungaji tapeli. Msigwa kapaniki
Kwa hasira zilizompanda HP nahisi atakuwakashajipiga bao ama kajinyea ndani ya gagulo lake!
Msigwa: Hatuna kosa la kumsafisha EL.Mwembeysnga tulisema watu 11, kwa nini hawasemwi. Lowasa hajakuwepo serikalini miaka8 lakini ufisadi umezidi. Hatuna muda wala kosa la kumsafisha. Tunakwenda kushinda