Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

Naangalia chanel ten msigwa kadoda hana hoja ana jazba tu. Polepole amemkalishaaa labda kidogo lisu anaweza jaribu.


My take :
It's time wachungaji warudi makinisani.
 
Pole pole kala kiapo cha kuto toa siri ya maoni ya mtu...lakin yy anatoa hadharan maoni ya lowasa....??!
 
Hawa wachangiaji ndo wapiga kura. Wanamchana Msigwa makavu.
 
Tukaneni na sinangeni hapo mezani ila Wapiga kura ndo waamuzi wa mwisho katika sanduku la kura.
 
Wanaopiga sim ndio wapiga kura, msigwa endelea kuropoka, endeleen kununua madodoki ya kumsafisha mamvi
 
Kwa hasira zilizompanda HP nahisi atakuwakashajipiga bao ama kajinyea ndani ya gagulo lake!
 
Back
Top Bottom