Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

Kweli kabisa watu kama Polepole ni wa Kuwapuuza kabisa maana hawawatakii mema Watz maana mafisadi waliyo wengi na kulindana wapo CCM.
 
Nimechojifunza kuhusu pole pole ni mtu aliyejaa unafiki na unazi wa chama cha mapinduzi. Ni mtu hatari na naazimia kutokumtazama tena. Ni mnafiki aliyejaa roho ya uzandiki na kwa maslahi fulani.
 
hivi ile list of shame ilikuwa ya mwaka gani??? na kama huyu ng.erdere anasema watuhumiwa huwa hawana nafasi..je JAKAYA KIKWETE alichaguliwa mwaka gani baada ya mwaka huo wa list of SHAME?
 
Polepole is genius aisee...hata wanaopiga simu wanamchana Msigwa kuwa ni mchungaji tapeli. Msigwa kapaniki

sasa kama wanaopiga simu akili zao matope kama wewe,unadhani watasema nini?
Hv ww hata kwa akili ya darasa la 3,kama HP anadai E.L hatetei katiba ya wananchi at the same time wapo walio ipinga kwa nguvu zote ma ccm mbna hawashambulii amekazania E.L KAMA SIO uwendawazimu ni nini?
 
Back
Top Bottom