PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,211
- 4,170
mgeni rasmi ni katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Ndg Mashinji yupo LIVE sasa Karibuni.
pole ndugu.Umeme kwangu shida
Kwani Mashinji ndo nani?
Ndiyo huyohuyo Mashinji.Kwani Mashinji ndo nani?
KabisaNiliposikia ni huyo nikaamua kutoangalia. Jamaa kichwa cheupe kabisa.
Katiririka vizuri sema hakubali kukosolewa ila kiufupi yuko vizuri hatamwishoni alipomalizia kipindi alitoa ushauri mzuri kwa raismgeni rasmi ni katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Ndg Mashinji yupo LIVE sasa Karibuni.
Pole mkuu kwani kwako ni wapiUmeme kwangu shida
Lumumba wameufyataUzi toka saa nne hata page moja bado?? Jamaa kweli hakubaliki.
Tofauti ya mashinji na wenzake ni utulivu ni mwanasiasa wa kweli haropokiropoki hovyo kama wenzake hapendi masifa.Ndiyo huyohuyo Mashinji.
Waje kufuata nini uzi ambazo bavicha uzijaza?? Yaani jamaa hakubaliki hata kwa bavicha, wangekuwa wanamkubali wangekuwa wameshajaza kurasa kadhaa na mapovu!Lumumba wameufyata
Soon uropokaji will eventually jump out of him, we ngoja tu! Uropokaji upo ktk dna ya chadema!Tofauti ya mashinji na wenzake ni utulivu ni mwanasiasa wa kweli haropokiropoki hovyo kama wenzake hapendi masifa.